johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,023
ukali hautatui changamoto!So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk
Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Karibu!
Up dates;
January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.
January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.
Hapa kazi tu
CCM "A" WANAANZA KUWAJIBU CCM "B"
THE ENEMY OF YOUR ENEMY IS YOUR FRIEND
So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk
Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Karibu!
Up dates;
January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.
January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.
Hahahaa........ Watu bhana!Huyu kuna kitu anakitafuta.
Hahahaa....... Umenikumbusha Prof Jay!Eti ccm mshauri wao ni Diamond
In God we Trust
Hakika tulimtaka Rais kama John Joseph Pombe Magufuli na tutamchagua tena 2020.So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk
Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Nafikiri umepanic !!. Asiyeufyata kwa mafisadi yuko wapi ?!. Au kelele za majukwaani yanakudanganya ?.So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk
Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!