Live Clouds 360: January asema uongozi ni kujinyenyekeza siyo ukali na kutetemeshana

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,517
Karibu!

Up dates;

January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.

January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.

Niishie hapo umeme umekatika
Maendeleo hayana vyama!
 
So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk

Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
 
ukali hautatui changamoto!
 
Kama nakumbuka vizur slogan ya Hapa Kazi tu ili asisiwa na Mh mwenyewe kwani ata kipindi kampeni zinaanza mpaka mabango baadae yalibadilishwa tpka ya awali yakaja ya hapa kazi tu! labda ayo maboresho ya kondoa Sirabi ya "Ni"
 
Hakuna habari zaidi ya mipasho
Karibu!

Up dates;

January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.

January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.

In God we Trust
 
So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk

Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!

Ni kweli tulihitaji rais mkali na bado hatujampata maana tuliye naye sio mkali bali ana jazba.
 
Eti ccm mshauri wao ni Diamond
Karibu!

Up dates;

January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.

January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.

In God we Trust
 
Bora ata huyu ndo angekuwa pale kwenye mjengo walau anaexposure kidogo mambo yasingekuwa vile yalivyo all in all"things fall apart".
 
So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk

Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Hakika tulimtaka Rais kama John Joseph Pombe Magufuli na tutamchagua tena 2020.

january na unafiki wake wa kujinyenyekeza atupishe na wala hawezi kuwa Rais:confused:NEVER
 
So what! kujinyenyekeza kuna kikomo - huwezi kuongoza watu wenye vichwa vibovu halafu ujinyenyekeze - A ibaki kuwa A, na Z iwe Z - tulihitaji rais mkali asiyejinyenyekeza kwa wezi wa madini - asiyejinyenyekeza kwa mafisadi - asiyejinyenyekeza kwa watumishi wasiowajibika - asiyejinyenyekeza kwa watoroshaji wa maliasili nk

Rais wetu anatosha na chenji inabaki!!!
Nafikiri umepanic !!. Asiyeufyata kwa mafisadi yuko wapi ?!. Au kelele za majukwaani yanakudanganya ?.
Mikataba mibovu mnahangaika ni vidagaa. Walioidhinisha na kula 10% mmewafanyaJe ?!. Escrow mnahangaika na kina Rugemalila waliolipa angalau kodi!!. Je wale waliochukuwa fedha na sandarusi mmewafanyaJe ?!. Anayepingana na ufisadi anatuletea kivuko cha 1978 ahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom