johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Karibu!
Up dates;
January Makamba anasema alishiriki kikamilifu kuasisi slogani ya Hapa Kazi Tu iliyokipeleka CCM madarakani akishirikiana kwa karibu na Nape pamoja na Ruge Mutahaba.
January anasema awali ilipaswa kuwa Hapa Ni Kazi Tu lakini Diamond alipoipitia kauli mbiu hiyo akashauri kuwa ibadilishwe kidogo kwani huko mtaani huwa wanasema Hapa Kazi Tu hivyo ile Ni ikaondolewa.
Kuhusu milioni 50 kwa kila kijiji Makamba anasema waliiga mfumo huo kutoka Thailand na una utaratibu mrefu kidogo hivyo wananchi wanapaswa kuwa wavumilivu kidogo kutokana na vipaumbele tulivyonavyo. Anasema hata yeye pamoja na mzee Wassira ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya Ilani wangependa sana ahadi hii itekelezwe mapema lakini wanaheshimu vipaumbele vya serikali kwa sasa.
Niishie hapo umeme umekatika
Maendeleo hayana vyama!