Live:Christmass Special toka hapa nilipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live:Christmass Special toka hapa nilipo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Dec 23, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Yeep JF...Christmass is here again.....

  Haijalishi upo mabondeni,kijijini au shimoni................we have to celebrate it!!

  Christmass ni special kwa sababu tumerithi utamaduni huo wa kuisherekea kwa kuwa pamoja na wale tuwapendao

  Binafsi leo nimekua bize kutuma fedha kwa ndugu jamaa popote walipo..mara crdb,nmb,nbc na ma MPesa yote!!

  kutoa ni moyo katu si utajiri....

  Baada ya apo ni kukaa na familia;kupiga stor za hapa na aple....biere 2/3 eeh mbusi choma na kisusio....

  ebu tupeane updates za kule mlipo..mnaisherekeaje sikukuu!!

  Nawatakia sikukuu njema wote wana JF..msherehekee kwa amani!!
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Nawe pia
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  You too.
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ya mwaku huu imekaa vibaya....wengine tupo zamu kazini
   
 5. C

  Coolbaby Senior Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera mkuu mimi mwenzako hali mbaya
   
Loading...