Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc ili tujifunze na kuchekana pia .. Mi naanza kwa kushare screenshots zangu...nanyi tiririkeni
Salaam MMU, guyss naomba tushare chats huku tukificha contacts za warembo tunaochat nao kila siku, either iwe tunawatongoza, tunavoomba mbususu, wanavotupiga mizinga etc.. Mi naanza k
hili swala ni gumu maana tunaowatongoza ni hawahawa wa humu sasa akikuta chats zetu huku itakuwaje, anyway huyo dem kashajiingiza kwenye mtego mwenyewe, amua mwenyewe unapiga au unatania.
Binafsi nafikiri kuleta hili jambo huku ni utoto wa hali ya juu , sizan kama sisi wanaume tunakua na tabia za hiv , mkuu naomba uniwie radhi ni maoni yangu tu binafsi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.