yeah ameshinda kwa points, majaji wote watatu wamempa ushindi. Ilistahili kwa kweli, tusubiri inawezekana mwakani mwezi may kukawa na pambano la kihistoria, manny vs mayweather

Ulitegemea kwa KO! No, siku hizi Boxers ni masharo wote, hawawezi kushinda kwa KO man. Ile mikono ya enzi hizo hakuna, mtu anapigana huku anaangalia asichafuke, saa ngapi atapiga KO.