Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Mpira unadunda.Wonders come...!
Ahahahahah..mkuu kwani gemu la leo linachezwa baharini?We subiri tu uone Gooners watakavyoishangaza dunia.Hata ujae vp hauwezi kudunda Baharini...
miujiza ya mwisho ni ile ya yule mzee wa Loliondo ambaye juzi kati ameonekana anatoka pharmacy kununua mkojo wa Punda
Hata ujae vp hauwezi kudunda Baharini...
miujiza ya mwisho ni ile ya yule mzee wa Loliondo ambaye juzi kati ameonekana anatoka pharmacy kununua mkojo wa Punda
Ahahahahah..mkuu kwani gemu la leo linachezwa baharini?We subiri tu uone Gooners watakavyoishangaza dunia.
Ushindi leo bila wasi wasi.
Tukianza na kasi tunauwezo wa kuwafunga, lakini kama tutaanza kwa kusinzia kusubiri mpaka tufungwe ndio tuamke tutajuta
Mmmmmmh..We jamaa lazima utakuwa Man U tu.Dua la kuku halimpati mwewe.tatizo sio kuishangaza Dunia...
Tatizo ni kuwa ushindi wa Arsenal ni finyu sawa na Bata kumeza Boga...
Kitu ambacho hakiwezekani
Mmmmmmh..We jamaa lazima utakuwa Man U tu.Dua la kuku halimpati mwewe.
Mpira ungekuwa ni kasi basi wamarekani wangekuwa mabingwa.
Wangewatumbukiza akina Tim Montigomery, Justin Gatlin, Shawn Clawford, Michael Johnson, John Drumond, Morris Green, Tyson Gay na nguli wengine...
Bayern defence yao sio nzuri so cha msingi ni Arsenal kutengeneza nafasi na kuzitumia maana game ya pili kule Munich itakuwa ngumu sana kwa Arsenal
Mkuu nafikiri haufuatilii kwa karibu Bundesliga. Msimu huu wa ligi, Byaern wafungwa magoli 7 tu katika mechi 22! Utapata wapi defence nzuri zaidi ya hiyo Ulaya?
Reggae boyz wangekuwa mabingwa, Usain Bolt, Asafa Powell, Yohan Blake, Nesta Carter na nguli wengine.