Little pocket radio: Hivi vidude bado vipo?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Aisee! Nakumbuka maisha yalikua magumu sana nilipokua seminari

Sio sababu ya msosi au nini, seminari msos ulikua mzuri, ila ratiba zilikua taiti sanaa.

Ukizingatia 50% ya muda wako shule unashinda church aiseeeee

Ila nashkuru nilitoka na wani kali mnoo

Ila maisha yalikua magum sana kwa sis watoto tuliokua watukutu, adhabu kila siku.

Ukiongea Kiswahili tabu, aisee!

Adhabu za kwenda kulima ni kama kunywa maji. Tulikua na mashamba ya matunda ila ukichuma hata kapera ukikutwa ni adhabu kali mnoo, matunda yaanguka yanaoza. Aiseee!

Ila haka kadude nilipokagundua. Kalifanya maisha yakawa mazuri mno, ukifika mda wa taa kuzimwa, basi nafurahi snaaa. Namskiliza diva au Radio Free Africa, hadi saa tisa za usiku.

Nilikua nasoma huku naskiliza mzik na mambo yanaenda. Akili hyo sasa hiv sina.

Thank you little pocket radio for making life easy enzi hzo.

Uzi tayari

images%20-%202022-05-27T113904.806.jpg
 
kuna kina sisi hata hatujui ni vinini
Hzo ni radio ndoogo saana zilikua zinauzwa 1500 mpaka 2000 .. wanafunzi weng wa boarding tulivitumia sabab vilikua vidogo mnoo.. unaweza kukiweka hata kwenye boksa na usijulikane.. vilikua kila mtu anavyo.. kwa sis wahenga lakin.. tuliosoma miaka ya 2002 had 2008
 
Samahahi, ulitoka na wani kali sana imekusaidia ktk maisha au umeajiriwa na ambae hakuwahi kupata wani siku zote za maisha yake ya shule?
 
Aisee... Nakumbuka maisha yalikua magum sana nilipokua seminari

Sio sabab ya msos au nin.. seminari msos ulikua mzur... Ila ratiba zilikua tait sanaa..

Ukizingatia.. 50% ya muda wako shule unashinda church aiseeeee

Ila nashkuru nilitoka na wani kali mnoo

Ila maisha yalikua magum sana kwa sis watoto tuliokua watukutu.. adhabu kila siku..

Ukiongea kiswahili tabu.. aisee..

Adhabu za kwenda kulima ni kama kunywa maji... Tulikua na mashamba ya matunda ila ukichuma hata kapera ukikutwa.. ni adhabu kali mnoo.. matunda yaanguka yanaoza.. aiseee..

Ila haka kadude nilipokagundua.. kalifanya maisha yakawa mazur mno.. ukifika mda wa taa kuzimwa.. bas nafurah snaaa.. namskiliza diva au radio free africa.. had saa tisa za usiku..

Nilikua nasoma huku naskiliza mzik.. na mambo yanaenda.. akil hyo sasa hiv sina

Thank you little pocket radio for making life easy enzi hzo..

Uzi tayarView attachment 2240512
havina kazi tena
 
Samahahi, ulitoka na wani kali sana imekusaidia ktk maisha au umeajiriwa na ambae hakuwahi kupata wani siku zote za maisha yake ya shule?
Hahahaha.. unahis mim ni kabwela nn. Hahahahhaha... Hebu nifatilie utajua ni kabwela au si kabwela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom