Little Johny part two...

Mkare

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
504
Reaction score
79
Little Johny amerudi nyumbani jicho limevimba, mama yake akamuuliza nini kimempata akajibu..."Sketi ya Ticha Mage ilikuwa imeingia katikati ya ****** yake nikaenda kuichomoa ndio akanipiga." Mama yake akasema ni tabia mbaya ndio maana amekupiga, usirudie tena...
Kesho yake little Johny akarudi jicho lingine nalo limevimba mama ake akamuuliza "Wee Johny, nilikuambiaje?" akajibu, "sketi ya ticha iliingia tena katikati ya ******, Juma akaitoa nikaona ni tabia mbaya nikaenda kuirudisha..."
 
Ah little johny pole bana utajajua mbeleni ila saiz unaona wanakuonea!
 
Kweli little J anavituko..Ingebidi mama amalizie kumfundisha kabisa sio nusu nusu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…