Liteace noah inauzwa

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
Make : Toyota
Model : LITEACE NOAH
Mileage : 100,000 km
Engine size : 1990cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Black
Manufactured year/month : 2001/8
Door : 4
Seat : 8

FEATURES
Airbag *
Air conditioner *
Power Steering *
Power windows *
Power Door *
Alloy Wheels *
FOG HID

Price : $6742
BEI INAKUA IMEJUMLISHA PAMOJA NA ;
Ushuru
Port charges
Agency fees
Marine insurance
registration
Bima ya barabarani

ecarstanzania@gmail.com
Karibu!

IMG_20160530_170412.jpg

IMG_20160530_170735.jpg

IMG_20160530_171025.jpg

IMG_20160530_171914.jpg

IMG_20160530_172124.jpg
 
Hii gari tayar ipo nchini??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hii gari tayar ipo nchini??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Habari j33,

Hapana, bado haijawasili.
Inakuja kwa order maalum. (Yaani, yeye atakae ihitaji tunamletea)

Karibu!
 
Tuwekee kwa Tshs mkuu
Habari Zamda,

Fanya hivi 6742* (exchange rates za leo gharama utakayopata ndio hio )

MFANO :

Exchange rates za leo ni 2194

Unafanya 6742*2194 jibu utakalopata ndio bei yake kwa Tshs.

Karibu!
 
ilete nije nilipie
Habari,

Hapo awali tulikua tukifanya hivyo, tatizo likawa mtu gari yake ikishafika, tukimwambia aje kuliona na kukagua, basi hawaonekani na kutokomea.

Hivyo tukagundua kwanba, wengi hawako serious ...

Ndio maana tukabadili system.
 
Hata huyo hayupo serious
 
Habari j33,

Hapana, bado haijawasili.
Inakuja kwa order maalum. (Yaani, yeye atakae ihitaji tunamletea)

Karibu!
So mteja anatakiwa alipie kwanza pesa yote? Na mna ofisi rasmi au ni briefcase tu?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Inachukua muda gani kufika nchini? Na pia kwann mnamkatia mteja bima ya barabarani, nadhan kwa sasa makampuni ni mengi na kila kampuni ila offer zake kuvutia wateja, je mnaweza kutoa hizo gharama mteja akawa na choice yake? Nikipata majibu ya maswali yala nitakuja PM.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
So mteja anatakiwa alipie kwanza pesa yote? Na mna ofisi rasmi au ni briefcase tu?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Habari yako,

Hapana,

Mteja hulipa nusu, nusu nyingine humalizia gari inapofika.

Kuhusu ofisi,

Ipo Arusha, jirani na eac.

Karibu.
 
Inachukua muda gani kufika nchini? Na pia kwann mnamkatia mteja bima ya barabarani, nadhan kwa sasa makampuni ni mengi na kila kampuni ila offer zake kuvutia wateja, je mnaweza kutoa hizo gharama mteja akawa na choice yake? Nikipata majibu ya maswali yala nitakuja PM.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
J,

Kuhusu muda,

Ni 6 gari inakua imeingia (though kuna muda inaweza fika hata week 7 na. Na hii hutokana na meli kuchelewa kuwasili)

Kuhusu bima ya barabani hio sisi hatumkatii mteja, ila mteja mwenyewe ndio hukata.

Tafadhari rejea details, kwenye bima ya barabarani tumeweka ''x''

Ila iwapo mteja mwenyewe kwa hiari yake akipenda, nakutupatia hilo jukumu basi nasi hufanya.

Na kumkabidhi gari complete.

N.B.

THNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUJIBU UJUMBE WAKO, NDIO TUNAUSOMA SAA HII.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom