Wengine ni wakuu wa mikoa wote walioteuliwa kutokana na kujuana au kulipana fadhila hasa wale walioshindwa kwenye kura za maoni, wakuu wa wilaya wanajeshi, wabunge wa kupendelewa watokanao na rushwa hasa ya ngono. Wengine ni Jakaya Kikwete na mawaziri wake walioghushi na hovyo kama vile Makongoro Mahanga, William Lukuvi, Celina Kombani, Sofia Simba, Matayo Matayo,Shukuru Kawambwa, Hussein Mwinyi, Stephen Wassira, Salva Rweyemamu, Mary Nagu, Ezekiel Maige, Mrindoko wa EPA, Seif Sharrif Hamad, Augustine Mrema, Ibrahim Lipumba, Mbatia, Benard Membe wengine nitataja baadaye.