Sasa kipi kigumu kuntaja mwenyewe in da build bibie kan wa kan'tangaze mieeee.
best si ndiyo zile zile ? leo akija hapa atazisema
sawa, lakini si umetambua sasa!!
unampango wakugombana na nani?
hebu display nilichokuuliza hapo mabanoni...
karibia sana,
afu uvae ile ya mtelezo!!
ahaa..ni mlibadilishana au mi sijui