B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,414
Umeandika uharo tupu. Kwani dikteta asha wahi kkiongoza chama kile..?TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela
Asigombee coz kapitiliza muda wa kukaa madarakani ambayo ni miaka 10Kama unajua ni mali ya umma kwanini nyie viberenge vya Lissu hamtaki kusubiri maamuzi ya kura yafanye maamuzi na badala yake kutwa mnalazimisha Mbowe asigombee?
Yeye anataka uenyekiti alufu tushinde barabarani tuandamane ataandamana peke yake.TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela
Asigombee coz kapitiliza muda wa kukaa madarakani ambayo ni miaka 10
Si alikinyofoa babu Yako ili aendelee kungangania huyo mlafi wa madaraka, kwani hujui kuwa watangulizi wake waliweka kikomo cha madaraka then babu Yako akakinyofoa? Sasa Kwa taarifa Yako hatumzuii kugombea ila kiufupi hatamshinda lissu sababu sera za lissu ziko very clear, lissu katuahidi kuwa ruzuku zitasambaa Hadi huku wiliyani wanachadema wote tufaidike sio viongoz wachache tu wa juu, pili bila kupepesa macho kaahidi kipengele cha ukomo wa madaraka atakirudisha, sasa nambie ni mwanachadema gani mwenye akili timamu atashindwa kumpa Kura lissu then aharibu kura yake Kwa tapeli la siasa mbowe?Acha kujidhalilisha wewe kiberenge. Ni kifungu gani kwenye katiba ya CHADEMA kinasema kuna kikomo cha mtu kugombea uongozi ndani ya chama? Kama hujui kitu usipende kufuata mkumbo kama nyumbu.
Ni hivi, zama za Mbowe zimepita, uimara wa cdm ulikuwa kupitia sisi wafuasi wake na sio Mbowe kufia madarakani. Ifahamike Mbowe ameamua kushindana na wakati, na mabadiliko ndani ya cdm ni lazima. Nyio msiotaka mabadiliko mtabadilishwa kwa lazima na wakati.TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela
Are u a gay?TAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela
Upande uliopo ndo unataka hivyo, CDM waachie chama Chao wafe nacho.Itakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Lissu alisha sema ata gombea umakamu .. mara wenje naye anaye muunga mkono Mbowe katangaza the same post..msilete siasa za ccm ndani ya chadema
binti wa Ndesa Pesa !Lucy Owenya ndiye Mwenye Fedha kuliko mwanachama yoyote wa Chadema
Utajiri wa Mbowe ni Sawa na Sugu tu tofauti mmoja anauza Maua mwingine anauza maparachichi
Umeandika uharo tupu. Kwani dikteta asha wahi kkiongoza chama kile..?
Watu wanafiki pekee ndio wanaomtetea mbowe kwa maana wana nufaika nayeye. Kuna kosa gani kafanya lissu..? Upumbavu ni kitu kibaya sana kheri ungekua mjinga mara 1000
We mzee wa kimpumu cha mtama, Mbege nenda rombo,Alianza na Mkapa, Kikwete, Shujaa Magufuli hadi sasa Dr Samia
Lakini Chadema hawana hata kilabu Cha Mbege
Uwekezaji sifuri 😂
Ubaya ubwelaMbowe alijiona yupo safe sana haguswi pale juu kwenye kiti kikuu., akawa anawatuma kina Wenje na Sugu wamshughulikie Lissu kwa kukataa asali. Lissu hakuhangaika na kina Wenje akaamua kumfuata Mbowe mwenyewe anayewatuma. Mpaka sasa meza imepinduka hawaamini nguvu ya Lissu. View attachment 3186533