mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Hahaa unyoya, unajaza upepo mwenzakoLissu shikilia hapohapo mbowe huyu ni mwepesi kama unyoya wa kuku!!
Kama uzi wa pambaππLissu shikilia hapohapo mbowe huyu ni mwepesi kama unyoya wa kuku!!
Mbowe mwisho wake ushafika lazima agalagazwe vibaya!Hahaa unyoya, unajaza upepo mwenzako
Wengi hawajajua sababu hii..Mbowe alimwambia Wenje agombee umakamu Mwenyekiti ndio Tundu Lisu akampandia Mbowe huko huko Juu
Biashara ya kuuza nafasi ya mgombea Urais Ndio imewaua Chadema π
Alianza na Mkapa, Kikwete, Shujaa Magufuli hadi sasa Dr SamiaMbowe mwisho wake ushafika lazima agalagazwe vibaya!
Lissu ndo anatufaa wanachadema halisi sio huyu mwizi wa ruzuku za chamaItakuwa ni ukichaa na uwendawazimu wa hali ya juu sana kumpa mtu kama lissu kuongoza CHADEMA.Ni bora kuokota mtu jalalani anayeokota Makopo kuliko kumpa uenyekiti lissu
Lisu alivuruga biashara ya Nyalandu 2020Wengi hawajajua sababu hii..
Lissu alitakiwa aenguliwe kijanja..
Peleka ujinga wako hukoLissu ndo anatufaa wanachadema halisi sio huyu mwizi wa ruzuku za chama
Halafu chawa wake eti wanatuaminisha ktk chama hakuna mwenye uwezo zaidi ya mboweAlianza na Mkapa, Kikwete, Shujaa Magufuli hadi sasa Dr Samia
Lakini Chadema hawana hata kilabu Cha Mbege
Uwekezaji sifuri π
Mwisho wako wa kubeba mikoba bwana wako ushafika chawa mwenye njaa kali wewe!Peleka ujinga wako huko
Lucy Owenya ndiye Mwenye Fedha kuliko mwanachama yoyote wa ChademaHalafu chawa wake eti wanatuaminisha ktk chama hakuna mwenye uwezo zaidi ya mbowe
πππππLucy Owenya ndiye Mwenye Fedha kuliko mwanachama yoyote wa Chadema
Utajiri wa Mbowe ni Sawa na Sugu tu tofauti mmoja anauza Maua mwingine anauza maparachichi
Lucas jana hapo Machame alilewa sana hadi Kulala Chini ya migomba Sema tu Machame siyo Pwani πΌMwisho wako wa kubeba mikoba bwana wako ushafika chawa mwenye njaa kali wewe!
Mbowe must goTAL anahaki ya kugombea. Lakini nawaibia siri kwamba akina Msigwa na kikundi chake ndio walimshauri TAL aache kugombea nafasi ya umakamu na agombee nafasi ya Mwenyekiti.
Na ndio maana unakuta TAL kama anakitu kinafukuta moyoni. Kama ni kuleta mabadiliko atayaleta hata akiwa mjumbe au mwanachama wa kawaida.
Pia mabadiliko kwenye chama hayaletwi na mtu mmoja, bali kwa kushirikiana na wenzako kwa pamoja, ambao kwa sasa anawananga. Huyu pimbi labda kama ataleta mabadiliko kwa kufanya udikteta kwenye chama. Jicho la 3 linaonyesha push ya kuutaka uwenyekiti haina nia ya kukijenga chama. Nasemaje huyu hawezi pewa chama yaani hata iweje (inyeshe mvua, liwake jua hata kama ni ukame kabisa), kupewa chama Big No. Awafuate akina Msigwa rafiki zake. Mzee mwenzangu johnthebaptist unaniyelewa lakini!
hahahaaa
ni ubaya ubwela