Anasema matumizi mengi ya serikari hayajulikani kwakuwa CCM ni chama cha walaji je ukila na kipofu unamshika mkono anasema CCM haina maslai na wananchi kila siku wanasema fedha hazitoshi . Anarudia kuhusu michango hakubaliani na kuwa serikari kuwa haina hela anatoa taarifa ambazo zinathibisha ukweli wa anayoyasema kuwa kuna mahela mengi yanapoteapotea tu anatoa taarifa ya CAG inayohusu fedha zilizotengwa na bunge juu ya fedha za maendeleo anasema mwaka 207/08 bill 99.14 hazikutumika hii inaonyesha kila mkoa haukutmia sh 4.2. mwaka200v bil88.72 hazikutumika pia hizi si pesa kidogo fikilia zingejenga zahanati ngapi zingepunguza umaskini wetu kiasi gani. Je hizi hela zilirudishwa hazina na akina CCM. hizi ni za miaka miwili tu je hhuko nyuma. Anasema kila mbunge unapofika wakati wa bajeti bajeti ya kwanza ni ya wizara ya fedha inayofuata ni ya Waziri mkuu. na wabunge wote wanapewa pamoja na hotuba majedwali ya fedha. Anaelezea juu ya fedha za kuendeshea mashule mengine ameacha naona hili labda lionamwelekeo na watu wa hapa. anasema capitation grant kwa mwaka huu kila mwanafunzi sh elfukumi hupelekwa shuleni kila robo ya mwaka anasema hakuna hela zinaliwa kama pesa za capitation anasema ule mgawanyo wa 40%vitabu20% ukarabati20% utawala 10% mitihani 10% stationary. watu wanshangilia kumbe swala la siri ndo linaanzia hapa. duh madiwani hawaujui mgawanyo wa fedha hizi wameumbuka!!!