Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,256
- 3,892
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?[/QUO
HIVI NI KWELI TUMEFIKIA HAPA.......USHAURI WANGU CHADEMA ANDAENI MPANGO WA KUMUONDOA.
Wakuu kwa taarifa zilizo nifikia hapa muda ni kwamba baada ya hawa wajamaa kufa na Lema sasa amri iko wima kwamba Mnyika lazima aondoke afuatiwe na Lissu na Meatu .Kama habari hizi ni za kweli hakika tunaelekea kubaya nimeona wakuu niwape taarifa hizi kama nilivyo zipata muda huu .Hii imekaaje kama demokrasia ndiyo ilivyo kwenye hii Nchi ?Wewe una habari za kama zangu ?

Kuna uvumi mkubwa unaotanda Mkoani Singida, kuwa Mbunge wa jimbo la singida Mashariki, Tundu Lissu huenda akavuliwa Ubunge kama alivyofanyiwa Lema. Japo bado kesi inaendelea, wananchi wameanza kukata tamaa kwa kuona vikao vingi vya Viongozi wote wa CCM, pamoja na waliosadikiwa ni Usalama wa Taifa toka Ikulu. vikao hivyo vilifanyika Jengo la CCM Mkoa jana. Mmojawapo ya vitu vinavyozidi kutoa shaka, ni kuwa Alhamisi walalamikaji ambao ni CCM walisema kuwa wangefunga ushahidi, baada ya shahidi wao wa mwisho kuja kuwaumbua mahakamani kwa kusema ukweli, pamoja na kuwa walimnunua kwa pesa inayosadikiwa kufika milioni 5, Jaji alikubaliana na maombi ya kuanza kuletwa mashahidi wengine wapya. HATUELEWI Jaji kwanini aliomba upande wa walalamikaji kuendelea kuleta mashahidi wakati walalamikaji walisema wanafunga ushahidi siku hiyo. Shahidi aliyemalizia anaitwa Hasani Musuna aliwaumbua vibaya sana CCM pamoja na kumhonga, mpaka ikabidi aombe ulinzi wa polisi, na siku hiyo alitolewa na gari ya RCO Kupelekwa kwao. kabla ya kuja Mahakamani, CCM walijihakikishia kuwa shahidi huyo angewaumbua sana CHADEMA kwa ushahidi wa kutunga, na CCM wakawasadikisha polisi kuwa Shahidi huyo alikuwa anaenda kutoa majibu yote na hivyo wafuasi wa CHADEMA wangeleta fujo mahakamani. Polisi walifika mahakamani siku hiyo wana mabomu ya machozi, Bunduki na Virungu na Risasi za moto. Ila baada ya huyo shahidi kumaliza, WOTE WALIONDOKA VICHWA CHINI. Kama kweli kuna njama kama hizo Basi Kikwete atakuwa ameamua kuipeleka nchi anakotaka yeye:Tusubiri hatima:
ni mpango wa kuwafratrate wabunge maarufu chadema baada ya Lema,anafuatia lissu kisha mnyika.yupo jamaa yangu usalama wa taifa alitumwa singida tangu ulipoanza uchaguzi arumeru.yupo huko hadi sasa.japo mashahidi wa ccm wnakimbia cortini,na wazi kwamba hakuna kesi,lakini lissu ataenguliwa.ajbu hakuna ccm hata mmoja atakayeenguliwa.subirini muone

mi naona kilichobaki ni kuingia msituni
mi naona kilichobaki ni kuingia msituni