Lissu: Msumeno wa JPM ni butu, inakuwaje kubwa la Mabashite linaachwa?

uwe unasoma ulichokiandika kabla ya kupost hilo neno utahira unalipenda na siku zote mchawi humjua mchawi ww utakuwa taahira ndiyo maana kila anayemkosoa magufuli unamuona taahira jaribu kujitambua kidogo ujue kuwa ukipiga vita vyeti feki vya boss wako kihiyo mkuu Daud Albert bashite utakuwa umemsaidia Rais magufuli kuondokana na lawama ya kitaifa.
Mwenzenu kaona jina lisilo na bahati alilopewa utotoni kaamua kubadili. Nongwa iko wapi hapo? Lichukuwe wewe basi? Nikikuambia unaking'ang'anizi cha kitaahira unaona nakuonea. Utaahira ni uwezo mdogo kabisa wa kiakili.
 
nilishakuambia mapema kuwa uwezo wa Akili hupimwa na mchepuko wako?au hupimwa kwa kumteea Daud Bashite? Kwa ujinga wako unadhani ukimtetea Daud Bashite utaonekana una Akili.
 
Dawa yake ni prof kabudi. Lisu anamgwaya sana hana hamu naye kabisa mana alimtykana eti his level of appreciation is diminishing" . Anaomba mungu kabudi afe leoleo ili aendelelee kuwanyanyasa wabunge wasiojua japo yeye mwenyewe ni mweupe
Gujalati yawezekana wewe sio mtz nahisi ulizaliwa kwenye mojawapo ya kambi za wakimbizi zilizopo hapa tz. Kwani upupu wako siku zote haufanani hata na mtoto wakitz aliehitimu shule ya msingi.
 
Wadau ebu tujiulize unapowaacha wakuu wa mikoa na wilaya inamaanisha nini mimi mtazamo wangu magufuli anaowataka wanao mlinda na kumsifia tu atakama awana vyeti ila nchi anakoipeleka siko
 
Hata kama ikithibitika na mkulu kwamba real Bashite ana vyeti feki, bado hawezi mtumbua kwa sababu nafasi yake inahitaji kujua 3K tu.
atalazimika kumtumbua sababu bashite atalazimika kutumikia kifungo cha miaka saba gerezani.
 
halafu nimeshangaa kidogo,rais anajua kabisa kugushi ni jinai lakini kawapa siku 15 waache kazi wenyewe halafu hakuna kesi,do you know what i am thinking?anataka kutumia kigezo cha kuwaachia hawa ili na bashite naye asifikishwe kortini
 
Pesa za viwanda zinatumika kumlinda kihiyo mkuu Bashite yaani Le mutuz na kikundi chake cha wajinga wajinga akina Msororo69 a.k.a tahira wanatumia pesa nyingi kumtetea Kihiyo Bashite ni pesa ambazo zingeweza kujenga Hosptal za rufaa Dodoma, iringa, Lindi na Chato na kujenga chuo kikukuu kingine kikubwa lakini zinapotelea kwa waganga wa kienyeji na vikundi vya Utetezi mitandaoni.
 
Back
Top Bottom