Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,884
Kwa ufupi:
Lissu- inakuwaje mkuu wa mabashite anaachwa na anatumbua vibashite vidogo vidogo na Bashite mkubwa anaachwa?
Anatumia kodi zetu kulipwa mshahara ni mtumishi wa umma inakuwaje mtu akiyefoji vyeti anapeta tu na haguswi hadi sheria inapindishwa kuna nini?
Serikali itende haki kama uhakiki ufanyike kwa wote hata wabunge na mawaziri kwanini tuongozwe na vihiyo na wapo wano stahiri