Lissu: Lowassa ni tembo wa siasa

Lissu: Lowassa ni tembo wa siasa

Utembo wa mwanasiasa ni kushinda uchaguzi tu hayo ya ku-make headlines akienda msibani hata Diamond aliweza msiba wa Kanumba.

Huyo ni tembo wa kuchora kwenye kuta za maktaba.
 
UKUTA haujavunjika ukivunjika hata kifusi dili, Nina miaka 30 ndani ya jiji LA Dar sijawahi ona panic kubwa kiasi hiki, si police, mwanasheri Mkuu, Mkuu wa mkoa na wengine kisa tamko?!!!!! Wawaache mbona JK aliwamudu vizuri tu.
Ndugu ayo yoote unayosema ndio ile hali ya kubatizwa kwa moto. Kama alivyosema mzee makamba, Tanzania tulimuomba Mungu atupe Rais anaye simamia utendaji wa serikali na tumempata. Ukawa katika kipindi iki cha miaka 5 wasitarajie watakaa meza moja na Magu kujadili mambo ambayo kimsingi wanayaanzisha ili kupima upepo, wataumia. Alisha sema yeye ajalibiwi baatinzuri ilo wameliona. Msisitizo : Msimjaribu Magu mtaumia ndiomaana kanyamaza alikua anasubiri mumjalibu ili awape majibu.Ata mzee Tembo wa siasa analijua ilo.
 
Watanzania wengi wanachojua ni kusoma na kuandika lakini siyo kutafakari na kufanya uchambuzi.

Ukisoma maelezo ya Lisu na hitimisho lake kuwa Lowasa ni Tembo wa siasa, utaona yupo sahihi kwa 100%.

Kifupi Lisu alichosema ni kuwa CHADEMA walifanya mbinu zote kuuondoa umaarufu na kukubalika kwa Lowasa, walishindwa. Wakaona aheri waungane naye kuliko kupigana vita ambayo ilionekana wasingeiweza.

Baada ya Lowasa kuondoka CCM, nao CCM walijitahidi kumchafua Lowasa kama walivyofanya CHADEMA awali, bado nao hawakuweza. Pamoja na mbinu zote zikiwemo za wizi wa kura na kutumia vyombo vya dola, bado Lowasa alipata 40% ya kura zote, kiwango ambacho hakuna mpinzani aliyewahi kupata. Mpaka leo watu wakijua Lowasa anaenda Kariakoo, kundi la watu linamfuata. Mtu wa namna hiyo utamwita nani zaidi ya jabali au Tembo wa siasa za Tanzania kama Lisu alivyosema?

Ninanena kwa dhamira ya moyo wangu kabisa, chini ya uchaguzi huru kabisa wenye mazingira sawa ya uchaguzi, hapa Tanzania hakuna anayeweza kumshinda Lowasa kwenye uchaguzi. CCM wanajua, Magufuli anajua na serikali inajua pia. Hizi amri zote za kuzuia mikutano, shida ni Lowasa. Na ninawaambieni, mikutano ikiruhusiwa, mtashuhudia maelfu ya watu watakaoenda kwenye mikutano ya Lowasa, na ni kweli, kila atakapoenda shughuli zitasimama.

Wanasiasa wa aina Tundu Lissu wameishagundua kuna kundi la Watanzania wajinga ambao hata kama ikiwaambia lolote watakubali/kuamini.

Siasa za aina hiii ndizo zinawafanya waishi maisha ambayo watanzania ni wengi hawana hata ndoto ya kuyaishi.

Leo hii Lowassa anapambwa kila aina ya mapambo ili tu uamuzi na kauli zao zionekane ziko sahihi.

Tanzania is unique country!
 
Magamba hata aibu hayana kwenye UKUTA mpaka ndege za Kavita mmepitisha juu ya anga, wanajeshi na Police wametanda nchi nzima sasa mnashindwa nini kumkamata huyo fisadi wakati tayari mahakama mmeshazifungua?
 
Wanasiasa wa aina Tundu Lissu wameishagundua kuna kundi la Watanzania wajinga ambao hata kama ikiwaambia lolote watakubali/kuamini.

Siasa za aina hiii ndizo zinawafanya waishi maisha ambayo watanzania ni wengi hawana hata ndoto ya kuyaishi.

Leo hii Lowassa anapambwa kila aina ya mapambo ili tu uamuzi na kauli zao zionekane ziko sahihi.

Tanzania is unique country!

Hakuna ujinga mbaya zaidi ya huu wa watu kuhamaki kwa tamko tu la kisiasa lililobebwa na neno lenye helufi tano tu la "UKUTA!!"
 
Hakuna ujinga mbaya zaidi ya huu wa watu kuhamaki kwa tamko tu la kisiasa lililobebwa na neno lenye helufi tano tu la "UKUTA!!"
Na ujinga mzuri ni upi na huwa unabeba neno gani na lenye helufi ngapi?
 
Viongozi na wabunge wa chadema kama mbowe,msingwa,lemma,lisu kwa muda mrefu sana wamekuwa wakitake advantage ya ujinga na upumbavu wa wanachagadema kuwageuza na kuwachezesha vile wanavyotaka wao..yaan hata leo hii mbowe anaweza kusema mavi yaliyopo chooni ni chakula na wanachama wake wakayagombea na kula bila wasi wasi wowote..kweli unyumbu ni kilema
 
Nashukuru kwa kutusaidia kuujua uwezo wa akili yako.Ubongo ufuto.
 
Hujui unachoongea. Kama ungefanya uchunguzi kidogo tu ungegundua kuwa wengi wanaoichukia na wasioitaka CCM ni watu wenye upeo na uelewa mkubwa. Na hiyo ndiyo sababu ya CCM kuyakosa karibia majiji yote na hiyo ni baada ya ile mbinu chafu ya CCM ya kuwanyima wanafunzi na wanavyuo wote haki ya kupiga kura kwa kufunga vyuo na shule kwa sababu CCM inatambua kuwa 'i vigumu sana kwa mtu ambaye ana uelewa mzuri kkuichagua CCM labda kama huyo mtu maisha yyake yanategemea maovu ya CCM.

Tegemeo kubwa la CCM zaidi lipo kwa Watanzania wajinga, wananchi walionyimwa uelewa. JPM ni lazima afanye kazi hasa na kwa werevu usio mchafu ili kuifanya CCM kiwe ni chama ambacho hata watu wenye uelewa, akili nzuri na wasio wanafiki waweze kukiunga mkono baada ya muda mrefu kuwa kama genge la wanafiki.

Viongozi na wabunge wa chadema kama mbowe,msingwa,lemma,lisu kwa muda mrefu sana wamekuwa wakitake advantage ya ujinga na upumbavu wa wanachagadema kuwageuza na kuwachezesha vile wanavyotaka wao..yaan hata leo hii mbowe anaweza kusema mavi yaliyopo chooni ni chakula na wanachama wake wakayagombea na kula bila wasi wasi wowote..kweli unyumbu ni kilema
 
Lissu mpuuzi tu
Mwana siasa mwenye bei
Ndiye yy aliamini utafiti wao uchwara
Ndiye yy aliita waandishi wa habari kumkejeli Dr Slaa!
Chama kimewafia sasa,wanashindwa kukusanya watz waandamane
Na bado mtaisoma namba!
 
Wanasiasa wa aina Tundu Lissu wameishagundua kuna kundi la Watanzania wajinga ambao hata kama ikiwaambia lolote watakubali/kuamini.

Siasa za aina hiii ndizo zinawafanya waishi maisha ambayo watanzania ni wengi hawana hata ndoto ya kuyaishi.

Leo hii Lowassa anapambwa kila aina ya mapambo ili tu uamuzi na kauli zao zionekane ziko sahihi.

Tanzania is unique country!
Anapambwa hadi na ccm"Lowasa ni muungwana"
 
Back
Top Bottom