SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
KAMANDA CECIL DAVID MWAMBE (CDM) NA SAFU MPYA CHADEMA
Habari kutoka kwa watu wa karibu wa Mhe Cecil David Mwambe mbunge wa Ndanda na Mkt wa kanda ya kusini ni kwamba amedhamiria kuisuka upya CHADEMA ambapo inasemekana akiibuka mshindi basi Katibu Mkuu wake atakuwa Mhe Tundu Antipas Lissu Huku John Heche akiwa naibu wake.
Inasemekana wapo wanachama wengi wenye uwezo wa kutoa mchango wao kwa chama lakini makundi na siasa za kikanda yaliwaumiza sasa ni wakati wao kuingia kuthibitisha uwezo wao.
Nafasi za mafunzo kwa chama ndani na nje ya nchi zilikosa program inayoeleweka na uwazi kwa wanachama hususani vijana na wanawake. Mwambe amedhamiria kufanya mageuzi.
Mapato yote ya chama yanaweza kuajiri maafisa na watendaji kuanzia makao makuu hadi kwenye majimbo pamoja na upatikanaji wa vifaa muhimu vya kutendea kazi ikiwemo ofisi, baiskeli, pikipiki, magari, computer, bendera, kadi na sare za chama.
Siasa imebadilika sana lazima tuwajengee uwezo vijana wetu ili wamudu mabadiliko ya teknolojia na kutumia maarifa hayo katika kusukuma mbele gurudumu la chama chetu.
Zipo fursa lukuki za kimafunzo na ushiriki wa matukio mbalimbali kutoka vyama rafiki bahati mbaya sana zimekuwa zikiwanufaisha watu wale wale. Ni muda viongozi wa majimbo, wilaya, mikoa na kanda kuanza kunufaika na fursa hizi.
Twende na CDM CECIL DAVID MWAMBE...
#Miaka15MboweInatosha #TwendeNaCDM #SimonMkirene