Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 382
- 506
[emoji2956][emoji2956][emoji1787]Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Unamfahamu huyo kapuku unayemkenulia meno? uliza kwanza kabla hujatekwaLissu aende CCM tu...
Taifa linamhitaji katika mambo ya sheria....
Hizi tick kwanini wengi wanaopewa ni mamlukiMjinga mwingine mwenye blue tick jamii forum
Ndo wanaotumika kueneza ujinga unafokir kwa watu wenye influenza wnaapendwa sana na kile chama cha mboga za kotimiri kwa sbabu wanatumika kueneza ujingaHizi tick kwanini wengi wanaopewa ni mamluki?
Ana point lakin chaka hakito mfukuzaTundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Kama hizo ndizo sababu basi wamfukuze...Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Sasa watu wakuamini wewe, au wamwamini yeye, Tundu Lissu. Mbona yote haya kisha yatolea ufafanuzi, tena vizuri kabisa; wewe ulikuwa umejificha wapi kwamba hadi leo unangoja tu mvurugano huko CHADEMA?Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Yaani CCM imejaa uchafu wa kila aina.Ludo ulichomfanyia Lwakatare hatujasahau, Mamluki duni sana wewe jamaa.
Nakuhakikishia kwamba tunaanza rasmi kufukua uchafu wako wote, hao wajinga wanaokushabikia hawakujui, umechokoza nyuki
Huyu ndiye yule Kijana (enzi hizo) aliyetumwa kumtengenezea Lwakatare kesi ya Uhaini..!?Ludo ulichomfanyia Lwakatare hatujasahau, Mamluki duni sana wewe jamaa.
Nakuhakikishia kwamba tunaanza rasmi kufukua uchafu wako wote, hao wajinga wanaokushabikia hawakujui, umechokoza nyuki
"Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025"! Haya aliyasema wapi? Na lini! Pia, hizo fomu kazikusanya toka CCM au kwa Msajili wa Vyama vya Siasa? Nijuavyo vyama vya siasa ukifika wakati hutoa fomu moja kwa kila anayetaka kugombea, sasa hilo lundo la fomu alizokusanya ni kwa akina nani! Hebu jaribu kutunga upya ili taarifa yako angalau isogelee ukweli.Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu Mchungaji Peter Msigwa, hatua ambayo ilionyesha kuna mvutano wa ndani kuhusu mwelekeo wa kisiasa na ushawishi wa Lissu.
Hatua yake kulalamika hadharani kwenye mkutano kuwa kuna fedha chafi za uchaguzi ndani ya CHADEMA.
Kulalama hadharani kuwa msafara wake haupewi magari wala wasaidizi wala posho.
Kupokea fedha toka CCM. Matukio haya yamezua shaka kuhusu umoja na uongozi ndani ya CHADEMA na wengine wanasema anajiandalia mazingira ya kujiondoa ama kuondolewa CHADEMA.
Zipo taarifa za ndani kabisa kuwa tayari yuko njiani kujiunga CCM.
Marafiki zake wengi kama Msigwa na leo Albanie Marcosy wameishatangulia.
Anakaribishwa.
Lissu amesema majibu ya masuala ya hela yanahitahija kujibiwa kikamilifu tena kwa nyaraka na vithibitisho ili kukisafisha Chama na tuhuma hizo na nyaraka hizo ziko kwa Katibu mkuu sasa nini ambacho huelewi hapo? Lissu anataka chama kisafishwe kwa kutoa majibu yanayojitosheleza.Lissu ananishangaza kila akihojiwa anachomekea mambo ya hela aulizwe katibu mkuu, kila mara jumba bovu anadondoshewa katibu mkuu.
Kuna cha ziada ambacho hatujui.
Lissu ni kapuku!???? Acha upumbavu wwUnamfahamu huyo kapuku unayemkenulia meno? uliza kwanza kabla hujatekwa
BIla shaka uwezo wa kichwa chako kutunza kumbukumbu ni mdogo kupindukia. Au yawezekana pia unatengeneza majungu kwa kutumia akili ndogo ukiamini kuna wenye akili ndogo pia, wanaoweza kuamini habari za kipuuzi kabisa kama hizi unazozitengeneza. Eti, kuna habari za ndani kabisa, za ndani wapi? Chumbani kwako?Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.