Lissu kuchangingiwa matibabu na watanzania kutamfanya awe mzalendo mara mbili ya alivyo sasa

Nimependa sana jinsi wananchi wanavyoona ni jukumu lao kuhakikisha anapata matibabu mazuri na kurudi kuendelea na kazi ya ukombozi ,Mungu amlinde na kuendelea kumpa pumzi siku moja aje aone jinsi taifa Zima lilivyonyuma yake kasoro bashite na baba yake
wacheni propaganda za kutumia wagonjwa....watanzania wangapi na zimefika shilingi ngapi mpaka sasa?
hivi ufipa hamna ajira za kuwapatia kipato zaidi ya hii friends of .......
 
Yaani kuwa mfuasi wa chama Fulani kunakufanya uone hata baya lenu ni jema uzalendo haukai kwa wanasiasa

Unafiki hukaa kwa wanasiasa

CCM vs CHADEMA NI WANAFIKI
 
Biblia katika chuo cha Matendo 13:36 Imeandikwa, nanukuu, "Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake, alilala" mwisho wa kunukuu. Hivyo wauaji wote wa TAL watambue kuwa wasingeweza kumuua TAL kwani kazi yake aliyoletwa kwayo hajaimaliza! "PRAY FOR LISSU"
 
Hili doa la uovu linalowaandama waovu hawa kamwe haliwezi kufutika katika fikra za watanzania na kwa hakika litawaandama mpaka siku wanaingia kaburini..
 
wacheni propaganda za kutumia wagonjwa....watanzania wangapi na zimefika shilingi ngapi mpaka sasa?
hivi ufipa hamna ajira za kuwapatia kipato zaidi ya hii friends of .......
mgonjwa mwenyewe ni lulu yaani hata kama zimefika milioni moja lakini wamechanga wanyonge hilo ni pigo kwa serikali na ndugai ambao wao wengine wana mioyo ya plastic wanatibia kwa kodi zetu wengine wanavijidudu vinakula ubongo wao bado wanatumia fedha za bunge kujitibia kwa miezi na miezi lakini Lissu ni wananchi wanyonge kwa raha zao wanashiriki kuhakikisha mwamba wa democrasia mtetezi wa wanyonge mtu muhimu mno anapata matibabu ya kiwango cha juu
 
Back
Top Bottom