abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Ndugu andika kwa utulivu maana unaandika bila mpangilio. Una haraka ya wapiLeo Mh Tundulisu kawaambia Watanzania na waandish wa Habar kua Serikal yake yeye italipanua jiji la Dar na kuakikisha Anaongeza usafir wa Reli za umeme kwani Kujenga Mabara Bara tu Haitosh pia Anaongeza Mabas ya Mwendokas na kuupanua Mkoa wa Dar...
Lissu ameanza kuona maana na tafsiri sahihi ya maendeleo kuwa ni "vitu" siyo tu vinachochea maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja lakini pia ni kipimo cha maendeleo. Maskini hana vitu, lakini anakuwa tajiri moyoni.Leo Mh Tundulisu kawaambia Watanzania na waandish wa Habar kua Serikal yake yeye italipanua jiji la Dar na kuakikisha Anaongeza usafir wa Reli za umeme kwani Kujenga Mabara Bara tu Haitosh pia Anaongeza Mabas ya Mwendokas na kuupanua Mkoa wa Dar...
Lissu ameanza kuona maana na tafsiri sahihi ya maendeleo kuwa ni "vitu" siyo tu vinachochea maendeleo ya nchi na mtu mmoja mmoja lakini pia ni kipimo cha maendeleo. Maskini hana vitu, lakini anakuwa tajiri moyoni.
Hivyo basi, Sera ya Chama chake ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ni nadharia tu ya wasomi. HAPENDWI MTU ILA POCHI TU (kwa maana ya vitu), wahenga walinena
Ulipozungumzia Balance kati ya Maendeleo ya Vitu na Maendeleo ya watu atleast kidogo nimekuelewa.
Tatizo Viongozi wa CHADEMA wanazungumza "Maendeleo ya watu" huku wakipinga Maendeleo ya Vitu.
Kama unaweza,Ukipata nafasi Gombea hata Ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA,Hakika utashinda.(Have my words).
Lakini kwa hawa viongozi waliopo sasa...aisee sioni hata wa kumpa kura.
Sorry if you are non-partisan!
Kwani Dar ni kijijini? kweli Huyu ni Tundu akili ikishamwagikiaLeo Mh Tundulisu kawaambia Watanzania na waandish wa Habar kua Serikal yake yeye italipanua jiji la Dar na kuakikisha Anaongeza usafir wa Reli za umeme kwani Kujenga Mabara Bara tu Haitosh pia Anaongeza Mabas ya Mwendokas na kuupanua Mkoa wa Dar...
Ukiniambia T. Lissu baada ya kulipata hili ataeleza nitakuelewa...lakini TL anaielezea kwanza imbalance iliyopo.
..halafu anapendekeza miradi na miundombinu inayowagusa wananchi.
..pia anazungumzia jinsi ya kuinua hali ya uchumi na kipato ya mwananchi mmoja mmoja.
..ccm wanapenda siasa za kulisha wenzao maneno na kuwachafua. yeyote anayetofautiana na ccm lazima wamchafue.
..kinachoendelea hapa ni jitihada za ccm kumchafua TL ili aonekane hafai.
"Joka" in his best elements!Kunatakiwa kuwe na BALANCE kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu.
Pia maendeleo ya vitu yazingatie mahitaji ya watu, na yawe shirikishi.
Kwa mfano, huwezi kuwajengea wananchi wa Chato uwanja wa ndege wa kimataifa wakati hitaji lao ni maji, zahanati, madawati,na pembejeo.
Huwezi kuleta maendeleo ya vitu huku ukinyima wananchi / walipakodi haki zao za msingi kwa mfano, kutowapandisha watumishi wa umma mishahara, kuwadhulumu wakulima korosho zao, kuwatoza wanawake wanaojifungua ada ya kujifungua, kuwalazimisha wamachinga kununua vitambulisho, na dhuluma nyingine nyingi.
Zaidi kuna umuhimu wa kuwapa wananchi mamlaka makubwa zaidi ya waliyonayo sasa hivi ktk kuamua mambo yao ya kimaendeleo. Utaratibu uliopo umempa Raisi madaraka makubwa kupita kiasi na kuwafanya wananchi wawe ombaomba kwa Raisi.
Laa Haswa(¬_¬)Kunatakiwa kuwe na BALANCE kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu.