Lissu atahitaji ajitete mwenyewe

Lissu atahitaji ajitete mwenyewe

Kuwa na Mwanasheria si haki ya kila Mtuhumiwa au ?
 
Habari ya Leo wanajamvi...
Naomba kueleweshwa faida ya Lissu kutetewa na mawakili Vs Kama atajitetea mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, naona kama Lissu atajitetea mwenyewe na mawakili wakajitoa, hii italazimu mahakama ikaleta matokeo ya wazi.
kutetewa na mawakili zaidi ya 50, inaonyesha anachokipigania kinaungwa mkona na wasomi wenzake

nyumbani kwa chura kiziwi kuna kazi mwaka huu!
 
Habari ya Leo wanajamvi...
Naomba kueleweshwa faida ya Lissu kutetewa na mawakili Vs Kama atajitetea mwenyewe.

Kwa mtazamo wangu, naona kama Lissu atajitetea mwenyewe na mawakili wakajitoa, hii italazimu mahakama ikaleta matokeo ya wazi.
Wakili wake atakua na maswali elekezi ambayo watakua wameshakubaliana kabla na hayo maswali mengine yatakua yametoka kwa Lissu,,,kwahiyo akitetewa na mawakili ni bora zaidi.
 
Ajisumbue kujitetea kwanini na sheria inaruhusu mtuhumiwa au upande wa mashtaka kuwa na wakili
 
Wakili wake atakua na maswali elekezi ambayo watakua wameshakubaliana kabla na hayo maswali mengine yatakua yametoka kwa Lissu,,,kwahiyo akitetewa na mawakili ni bora zaidi.
Maswali huwa yanajitokeza papo hapo mahakamani kulingana na ushahidi wa upande wa mashataka
 
Kwani ni chawa?
Mtikila alikuwa shost yake au siyo yeye
Siku hizi kachange, ni pro gvt, ni chawa ndiyo.

Mfuatilie hotuba zake hata juzi kalaani wito wa kumtoa Lissu jela bila masharti.

Akidai Serikali haiamrishwi ni kumkosea adabu mama.
 
Kwa maneno ya kibatala mteja wao TAL haogopi kesi yeye anahimiza haki itamalaki.

Lissu atajitetea kupitia mawakili wake.
 
Maswali huwa yanajitokeza papo hapo mahakamani kulingana na ushahidi wa upande wa mashataka
Hapana....katika kesi za jinai unajitetea itakapoonekana mshtakiwa ana kesi ya kujibu...labda wewe unazungumzia cross examination hii ndio inakua na maswali ya papo kwa papo.
 
Back
Top Bottom