Lissu amshukia Lowassa

Mwenzio anakula nchi Dubai nyie mnatoana macho !!!
 
Lisu jamani hajapona msaidieni kupata dawa au kumalizia dozi ile aliyopewa na kigwangala.

mi ni msukuma lakin usukuma wa huyu simiyu unatia mashaka, shiiiiit,fikiria wewe sio kupelekwa tu kisa visent hvyo vya ccm jali maisha yako na vizaz vijavyo.Nashukuru unatambua kuwa lissu ndo mwiba wa ccm
 
Nilikuwa napata tabu kujua huyu mtu anayejiita Simiyu yetu, ni wa namna gani, sababu hana mchango wa maana humu jamii forum, kama kweli ni msukuma aisee unawaaibisha wenzio walioelimika, ila tangu nimjue kitabia, namchukulia poa tu, yeye ni kuropoka tu ujinga utafikiri yupo anasukwa na mabini salon, lo!
 

wakuu kwa comments za kejeli na dharau kama hizi nikimtukana huyu nitakuwa namuonea
 
Sijawahi ona mtu anaepigiwa kampeni bila kusema kitu kama huyu Lowassa!
It's unbelievable! Ni kama vile kuna spiritual forces working on his behalf. Yani jamaa hahangaiki kwenye jukwaa, redio, blogu au outelt yeyote kuhusu kuutaka uraisi, ila sisi huku sasa hadi visu tunachomana mpaka mkuu wa nchi anaweweseka na kuongelea swala lake publically...
and what does the king fish/ whale do? Stays quite and moves through the waters as if totally un concerned.
Unajua lazima watu waogope! Mimi mwenyewe ni team Lowassa ila approach ya jamaa inantisha hata mimi!
What is he thinking? What is his strategy? And unfortunatlely kwa sababu nchi yetu ishazoea kuongozwa na wajinga tunashindwa ku critically and intelligently discuss approach ya Lowassa sababu hatujazoea. Tushazoea mipasho, vijembe, moves za mabavu yani Nape style, sasa we are faced with Lowassa the Brain tunabaki ku hate na wasio hate wana blindly support WOTE TUKO SAWA TU HATUELEWI! Hahaha!
 
Lissu asicheze na LOWASSA atampoteza kabisa kwenye ulimwengu wa SIASA.
 

Mkuu siyo kwamba simiyu yetu ni mwiba wa hoja za moto ndiyo maana unaweweseka sana? jenga hoja mkuu siyo kulalamika tu na kama unaona hau-fit humu unaweza kwenda jukwaa la akina mzee Yusufu.
 

Ccm must do her home work!
 

Huna hadhi ya kuongea na Lissu wewe...
 
mawazo mgando ya mr mamvi kuwa ili kutegua bomu lisilipuke la ukosefu wa ajira kwa vijana ni kuwanunulia pikipiki!
Yaani hapo ndo mwisho wa kufikiri!
Hii ni hatari sana
 

mchochezi mkubwa ww,na ww ndio utakuwa ulichochea mpaka mama yako akachika na baba yako ndo akaenda kumuowa mama kilango
 

Mkuu kwa tuhuma za Lissu zinaonyesha kwamba suala la udini kwa CCM ni la watu binafsi na sio la kichama, pia nahisi anatofautiana na wahafidhina wenzake wengi ambao wanafikiri kwamba kama Lowassa akitoswa kupewa bendera ya CCM 2015 basi Chadema wapo tayari kumpatia bendera, kwani kwa maono ya Chadema ifikapo 2015 ni zamu ya Kaskazini uraisi wa JMT.

Tusubiri kuona kama Lissu atanusrika kwa kwa saliti huu mbele ya wahafidhina wa CDM
 

Je Lissu atanusurika kwa usaliti wake kumnanga Lowassa mbele ya wahaidhina ambaye kwa siku za karibuni ameonekana ni karata ya Chadema kuelekea 2015?

Je Kumnanga Lowassa kutauwa ndoto ya chadema ya 2015 kupata raisi kutoka kaskazini?
 
Mwaka 2000 wakati kina RA wanahangaika na urais wa JK wenyeviti wa mikoa wengi majority if not all walikuwa wanajengewa mpaka nyumba just to win their support then magazeti na social media hazikuwepo kazi ilianza Mara tu baada ya 1995, JK and team wamefanya kazi kwa miaka kumi engineering the process. Huwezi kuwa kiongozi bora bila maandalizi huwezi kuwa kiongozi bora bila vision, kimsingi siyo Kila mtu anaweza kuwa Rais, na urais hajui kwa ngekewa Wala kupewa ni process ambayo inaanza ndani ya nafasi ya mtu then inakuja nje ya nafasi yake kwa kuwashirikisha watu na Mungu lazima awe kwenye huo mchakato mzima. Urais ni jambo ambalo mtu lazima alitamani na awe na uwezo hajui kwa mtu kukaa Kimya au kukaa nyumbani. Lipumba ameutafuta kwa zaidi ya miaka ishirini, Kama ungekuwa unakuja kwa Elimu, afya bora na mawazo mazuri na dini angeshakuwa Rais. Mshangao wangu Mdogo sana mtu ambaye walidhani wamemuumiza vya kutosha mwaka 2008 inakuwaje Leo hii wanamwogopa inakuwaje Leo hii ndiye gumzo kubwa nakumbuka Sitta alisema hawawezi pita kariakoo ? Hii ni miujiza ya Mungu nadhani wenzetu wanaliina hilo EL kama si watanzania na wapenzi wake asingeweza kufanya haya yote hana utajiri wa Bakharesa Wala Mengi na pesa ingekuwa urais basi Mengi na Bakharesa wangeshaongoza Tanzania na kina MO ! Ndugu zangu kimsingi nasema tuko kwenye boti sahihi na mti wa maembe pekee ndo unarushiwa mawe deep down wote wanajua hawana mgombea anayemzidi sifa mgombea wetu anayekubalika cross border Kama wa kwetu lakini pia mgombea mwenye nia na dhamira ya dhati kabisa ya kuharakisha maendeleo ya mtanzania Kama EL. Wangekuwa kuwa naye wangeshamweka wasingesubiri taratibu za chama. JK hakusubiri. Hivi kuna mtu anayedhamiria ubunge ambaye hajafika kwenye jimbo mpaka leo kuweka network ? Nia na sababu tunazo with them or without them we will claim our destiny. Waseme na kumnyanyasa EL wanavyotaka lakini wote wanajua ni mchapa kazi ana maamuzi na ni mzalendo wa dhati. Wangekuwa wana ushahidi wowote wa rushwa trust me ndugu zangu wangeshauweka hadharani siku nyingi hawana hata chembe ya physical evidence kwake. Tubakie kwenye mstari tumpaishe mgombea Mengine tumwachie Mungu ! EL hakatwi na mtu na hajamkosea mtu Wala chama Kama ushahidi upo wamwite kwa vikao ! Kila mtu anaruhusiwa kusema safari ya matumaini...... Bora anayesema kuliko anayesemea chooni.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Le Mutuz unataka uwekeze kwenye media ipi? Inabidi uendane na wakati umeona vitu vijana wanavyo vitaka? Ukileta mambo ya zamani wazee siku hizi hawasikilizi mambo ya kizamani nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…