JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
We hujui kama ukubwa ni jalala takataka zote utatupiwa wewe.cdm kuchukua nchi ni ndoto ya alinacha, sioni walichonacho kipya zaidi ya kutaka baadhi ya watu wawe na sauti zaidi ya wengine, kwa nini kila mtu anaehoji cdm anagombana na mbowe?mbowe hutakiwi kuwa rais pole kaka
"Namwandikia barua leo kumtaka aeleze kwa nini msimamo wake ulikuwa kinyume cha wa kambi ya upinzani na kama yupo tutamkabidhi leo, baadaye tutalipeleka kwenye Kamati Kuu ya CHADEMA yenye nguvu ya maamuzi, ikiwamo kumfukuza uanachama.
ukiniambia Zito, shibuda au Lissu kdogo nitakusikilza lkn si kwa MboweWe hujui kama ukubwa ni jalala takataka zote utatupiwa wewe.
ukiniambia Zito, shibuda au Lissu kdogo nitakusikilza lkn si kwa Mbowe
KATIBA YA CHADEMAUANACHAMA:5.1 Sifa za kuwa MwanaChama5.1.1 Awe raia wa Tanzania.5.1.2 Awe na umri wa miaka 18 au zaidi5.1.3 Awe na akili timamu5.1.4 Awe anakubaliana na katiba, sera, kanuni na maadili ya Chama.5.1.5 Awe anakubaliana na Itikadi na falsafa ya Chama.5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga naAhsante mkuu kwa kutujuza.? Viongozi wakuu wa CDM wawe makini sana na hoja za Kibunda Msukuma. On my side swarp him away, he is lyk a bat.
cdm kuchukua nchi ni ndoto ya alinacha, sioni walichonacho kipya zaidi ya kutaka baadhi ya watu wawe na sauti zaidi ya wengine, kwa nini kila mtu anaehoji cdm anagombana na mbowe?mbowe hutakiwi kuwa rais pole kaka
ukiniambia Zito, shibuda au Lissu kdogo nitakusikilza lkn si kwa Mbowe
Hizo sasa chuki zako dhidi ya watu wa kaskazini kwanini asiwe Dr.Slaa, Ndesamburo au G.Lema.ukiniambia Zito, shibuda au Lissu kdogo nitakusikilza lkn si kwa Mbowe
KATIBA YA CHADEMA
UANACHAMA:
5.1 Sifa za kuwa MwanaChama
5.1.1 Awe raia wa Tanzania.
5.1.2 Awe na umri wa miaka 18 au zaidi
5.1.3 Awe na akili timamu
5.1.4 Awe anakubaliana na katiba, sera, kanuni na maadili ya Chama.
5.1.5 Awe anakubaliana na Itikadi na falsafa ya Chama.
5.1.6 Asiwe mwanaChama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga na CHADEMA.
Kupinga posho lilikuwa ni wazo la Zitto au ni Katiba, Sera, Kanuni, Maadili ya Chama, Itikadi au Falsafa ya CHADEMA?
Na kama imeandikwa sehemu kwamba kupinga posho ni Katiba, Sera, Kanuni, Maadili ya Chama, Itikadi au Falsafa ya CHADEMA ni kwa nini Lissu asifukuzwe uanachama: Hivi tunavyoongea hapa Lissu anakula posho ya Wabunge, kwa sababu hakuna mtu hata mmoja aliyerudisha posho, uongozi wa Bunge na Serikali walikataa ku entertain kukataa posho, kupokea back posho ya mtu. Kwa hiyo Lissu anakula posho, afukuzwe CHADEMA kwa kukiuka Katiba, Sera, Kanuni, Maadili ya Chama, Itikadi au Falsafa ya CHADEMA?