Akikujibu nijulishe bwashee,Kwani hakuna CCTV?
Lissu na CHADEMA ndio wamekamata mitandao na vyombo vyote vya habari [emoji23]Yule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye...
hadi wanakera.Now, this is obsession beyond proportions...
Dude, just let Lissu be!....
Naye atapewa ulinzi au ndiyo mnataka kumuuwa kabisa. Lissu kashasema wazi waliompiga risasi sasa ushahidi wa nini na gari lilianza kumfuatilia miezi na miezi kabla mpaka namba ya gari alitoa leo eti mnatuletea unafiki wa ushahidi. Tushukuru nchi waliompa ukimbizi. Huyu ni mwananchi wa kawaidaYule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye...
Dereva wa Lisu Alishaoa umechelewa kajaribu kwengineYule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye...
Tanzanians live in their own tiny world of sensationalism, they're not interested in your truths which have no ounce of traction.We need the truth to be prevailed all along the issues!
It's the Confession season -1
Primary data if availableKwani hakuna CCTV?
CCTV huwa inahojiwa?
Iko siku kundi fulani lotaaibika sana humu nchini...
Yule Mwalimu wa Kagera clip tu imetosha kufanya maamuziPrimary data if available
Ni lazma itumike kwanza kisha ijekuwa kuwa connected na secondary data mf hizo cctv camera
Kisha tutapata majibu mazur kabisa