Nimeshtuka, eti kuna MTU kasema kukatika kwa daraja LA reli pale Ruvu na kugundulika mapema kabla ya treni ya Kigoma kupita kumewasikitisha Lumumba maana kingekuwa chanzo kikuu cha mapato
Tunamshukuru Mungu kwa kutuepusha na majanga siku mbili Tatu mpaka CCM wameweza kupata muda wa kuandika upuuzi Kama huu wakati muda Kama huu wangekuwa wako kujadili jinsi ya kupiga rambirambi za wafiwa.