Naunga mkono kwa 100%.hehehehe basi ajibebe tu[emoji4]...si angempiga tu ngumi huyo mlinzi[emoji4]..chadema tafadhari msimchukue membe huenda akawa pandikizi[emoji57][emoji57]tumechoka
😊😊 huu unaweza kuwa mchezo mchafu tu wa maccm...jana kuna Prof mmoja alikua ananiambia..angalien sana cdm mnaeza hisi membe anataka kuchukua nchi kumbe ni janja ya ccm...si unaona yanayotokea sasa!Mbowe yupo ndani wengine wanaenda kwa jpm sijui kuzindua makitu gan ati kuunga juhudi km sio mapandikizi ni nn😢😢😢Naunga mkono kwa 100%.
😂😂😂umenikumbusha hizo namba..wasira anazisoma tasaWakimalizana na sisi watakuja kwenu-Lissu.
Wassira endelea kuzisoma number Shufwa/Tasa/Witiri.
Yaani mkuu mimi naamini kabisa jamaa nipandikizi aliyekubuhu na ukweli siku akipewa kupeperusha bendera kupitia Chadema ndipo siku hio mimi binafsi ntaacha kushangilia mambo ya siasa na ntajiona fala sana kupoteza muda wangu.[emoji4][emoji4] huu unaweza kuwa mchezo mchafu tu wa maccm...jana kuna Prof mmoja alikua ananiambia..angalien sana cdm mnaeza hisi membe anataka kuchukua nchi kumbe ni janja ya ccm...si unaona yanayotokea sasa!Mbowe yupo ndani wengine wanaenda kwa jpm sijui kuzindua makitu gan ati kuunga juhudi km sio mapandikizi ni nn[emoji22][emoji22][emoji22]
Hahah na sifa ya no. Tasa uliyomchagulia ni noma sana ,chamoto atakipata.hahah[emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha hizo namba..wasira anazisoma tasa
😂😂😂umenikumbusha hizo namba..wasira anazisoma tasa]
😊😊😊hagawanyikiHahah na sifa ya no. Tasa uliyomchagulia ni noma sana ,chamoto atakipata.hahah