Lisemwalo lipo..: Arusha yathibitisha!

Lakini hajasema atakayekuja kumdhamini naye awekwe ndani.kutetea maana yake fasaha ni kumsaidia, kumficha, kuiingilia, mamlaka inayohusika kuishawishi ili isimtie hatiani,kuharibu ushahidi kwa lengo makusudi,mimi nilielewa hivyo.
Wewe ulielewa hivyo lakini yeye hakumaanisha hivyo ulivyoelewa!
 
Wewe ni hewa nafikiri.T.L hata kama akichaguliwa hawezi kuwa jaji mkuu wa TZ au mwanasheria mkuu wa serikali ebo!!!atabaki hivyo ila nahofia kufa kwa chama hicho cha TLS na CDM kwa pamoja.
Hivi umepiga Mswaki kabla ya kuandika
 
Hata kutaja majina ya watu kwenye vyombo vya habari bila kuwa na ushahidi nako ni kubambikia watu kesi. Tunayaona haya kila siku. Mahakama zipo, lakini watu wanaona fahari zaidi kuacha kuzitumia.
 
Avatar na unayoandika asubuhi hii inathibitisha WEWE ni either ni mbwia MADAWA YA KULEVYA au MNYWA VIROBA ASUBUI KUPATA MZUKA......
Kisukule mama ya Lumumba...bado hujapewa ile buku 7 ukanywe chai?
 
Mkuu,umeiona hoja yangu. Hongera!
Kuna sample za kesi nyingi na wewe bora umetoa moja hii inayoeleweka kwa wengi wetu.
Arusha itathibitisha mengi, mfano scenario ya Mh. si kama tu kabambikiwa na kulazimisha asitoke lumande! Wanaoangalia mbele wanajua kuwa adui yetu ni umasikini, ujinga na maradhi na kumweka mtu ndani kwa kumkomoa hakika hakutaondoa moja kati ya hawa maadui na wala hakutapelekea ujenzi hata wa msingi wa kiwanda.
 
Mm nashangaa sana kwa mkulu kusema mtu akikutwa na kitu haramu awekwe ndan hata kama mtetez wake nae awekwe hivi kwa stail hii ya kubambikiwa kesi siwataenda wasio na hatia?

Hata Mkulu anaweza kuongea "pointless". Haina maana ukiwa Mkulu kila unachoongea ni sahihi. Mkulu ni mwanadamu kama wewe, anakula, anakunywa na kisha.....
 
 
Hapo ndio tunaona umuhimu wakumfunga magufuli breki
 
Lakini hajasema atakayekuja kumdhamini naye awekwe ndani.kutetea maana yake fasaha ni kumsaidia, kumficha, kuiingilia, mamlaka inayohusika kuishawishi ili isimtie hatiani,kuharibu ushahidi kwa lengo makusudi,mimi nilielewa hivyo.
Wewe ulivyomuelewa, na wengine walivyoelewa wote mko sawa mpaka hapo yeye atakapotoa ufafanuzi akitaka, huna uhalali wa kukataa uelewa wa yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…