Ukichek vizur manual ya Ile mashine, Hamna mahali imeelekeza chochote.Swali.... nilimsikia jamaa akisema cm lazima iwe on wakati liquid protector inawekwa nini uhusiano wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya kuna vioo vigumu kuliko vioo vingine kioo cha simu ya milioni moja ugumu wake sio sawa na simu ya laki mbili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichek vizur manual ya Ile mashine, Hamna mahali imeelekeza chochote.
Ila kwa uzoefu TU,
Mionzi yoyote haipatani kabisa na vitu vyenye asili ya sumaku ndan yake.
Mfano: simu,tv,Redio n.k
Sumaku husababisha mvuragano wa mawimbi au shoti Kama itazd kipimo.
Inaweza pelekea kuua transfoma ya simu, maiki au hata spika.
Inayoweza kukugharimu sakiti nzima ya simu au Kadi nzima ya flex.
Ambapo km ndo simu zenye wadhfa wake, unaeza jikuta unakarabati simu kwa gharama ulonunulia ikiwa mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inazuia scratchWadau yamenikuta wakati nipo kwenye harakati zangu nikakutana NA jamaa wakisifia skilini protector sinikaingia mkenge wakatoa ile yakioo wakamwagia tumaji wakaweka kwenye mkebe unavitaa taa hivi wakasema tayari hapo hakivunjiki dah!! Nafika home imedondoka kioo kwishaaa kweli jamaa wamenitia hasara nimeona nishee ambao bado hamja weka msijaribu wizi mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uongo viwanda vya simu hawaweki huo ujinga.....tena baadhi ya simu za kampuni kubwa kubwa hazitaki hata kitu juu ya screen ukieka protector inakwambia utoe sembuse hayo maji
Hili li taka taka pier likwidi walisha liongelea hapa.Wadau yamenikuta wakati nipo kwenye harakati zangu nikakutana NA jamaa wakisifia skilini protector sinikaingia mkenge wakatoa ile yakioo wakamwagia tumaji wakaweka kwenye mkebe unavitaa taa hivi wakasema tayari hapo hakivunjiki dah!! Nafika home imedondoka kioo kwishaaa kweli jamaa wamenitia hasara nimeona nishee ambao bado hamja weka msijaribu wizi mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalo neno!Hivi kwanini hao watengezaji simu wasifanze hiyo liquid screen protection huko huko viwandani kwao?
Ndio, Fungua simu yako, Kisha Nenda ikague vizur Kadi nzima ya system chaji. Utaikuta paleSimu ina transfoma?? Hii mpya
Usihaji simu kama ya techno chamsingi inaingiza shingapi? Wengi tumeanzia huko kuwa na simu yagharama sio ujanja ujanja.Unaweka protector kwenye simu ya nini?
Hasa watu wanaomiliki tecno unakuta wamejaza masimu protector, sijui cover simu inakua nzito balaa na ukizingatia simu za tecno ni nzito basi unakua kama unatembea na jiwe la kilo 1 mfukoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!! Si poa
☆E pluribus unum☆