Liquid protector ni utapeli

Icent13

Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
25
Reaction score
29
Wadau yamenikuta wakati nipo kwenye harakati zangu nikakutana na jamaa wakisifia skilini protector sinikaingia mkenge wakatoa ile yakioo wakamwagia tumaji wakaweka kwenye mkebe unavitaa taa hivi wakasema tayari hapo hakivunjiki dah!!

Nafika home imedondoka kioo kwishaaa kweli jamaa wamenitia hasara nimeona nishee ambao bado hamja weka msijaribu wizi mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liquid protector inasaidia kaka mm ...nimeweka kwenye tablet yangu....tatizo sema hao uliokutana nao wamekuingiza chaka ...tu

But ungeenda kwa mafundi halafu cm ikapitishwa kwenye mashine usingejuta

Ila shida ya liquid protector siku ikivunjika inaua touch ya juu pamoja na screen ya cm

sent from toyota Allex
 
Duh kumbe bora hizi glas protector siyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo alokuwekea atakua amepunja ile NANO LIQUID.

Kawaida Ya ile liquid,
kichupa kimoja kinapaswa kutumika kwa simu standard 10 mpaka 15.

Muwekaji anaiweka kwa kunyunyizia huku ikifyonzwa na screen mpaka screen itakapoacha kufyonza tena.

Atafuta na kukausha kioo, Kisha ataitia Kwny mashine.

Mashine ikmaliza kaz yake,
Anaitoa sim Kisha anaigonga screen kwa kidole, jins anaigonga kuna mlio anauskia ndo unatakiwa kumthibishia screen itakua na uimara kias gani.

Sasa,
wanaoharibu hi biashara Ni wauzaji wa hii liquid
Juz Niko MWENGE nmeshuhudia chinga anadanganywa kua inatumika Mpaka simu 100

mwingine kwenye mjadala Kama huu humu jf, anajidanganya Eti inatoa simu 150-200

Kitu ambacho sio kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia ww watu tupige pesaa

Tukuwekee liquid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haisaidii chochoye ina hasara sana ikivunjika na kioo cha simu lazma kivunjike tofauti na protekta ya kawaida inaeza vunjika ila kioo kikapona
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Ukikutana nao Matapeli wengine mabararani wanakuwekea maji ya kawaida, au hata kile kimkebe wanakua hawakiwashi.
 
Swali.... nilimsikia jamaa akisema cm lazima iwe on wakati liquid protector inawekwa nini uhusiano wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana pia ni uzembe wako, usitoe general conclusion hivyo. We umeweka hiyo liquid kufika home umeshadondosha simu. Ulikuwa umeweka chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kitu chenyewe Skilini we utaachwa kulizwa?
 
Jana kariakoo pale kwenye mataa ya kwenda Mnazi mmoja kuna chinga anaweka kwa shilingi elfu tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…