DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Oktoba 29, 2025, watu walipigwa risasi wakiwa majumbani mwao, huku Mkuu wa Nchi akisema nguvu iliyotumika ndiyo iliyopaswa kutumika.
Profesa Lipumba ameyasema hayo katika maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Wanachama wa CUF Zanzibar ya Januari 27, 2001.
Profesa Lipumba ameyasema hayo katika maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya Wanachama wa CUF Zanzibar ya Januari 27, 2001.