Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Status
Not open for further replies.
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.
Aliwtaka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.

HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA

Huwa nafurahi sana nikisikia neno MOU, lakini mou ni kazi ya mwinyi. Baada ya serikali yake kushindwa kutoa huduma mbalimbali kwa raia wake, akaona azitumie dini kufanya kazi za serikali. Dini zote zikaambiwa waandae mipango lakini maustadhi hawakuandaa and then leo wao wako mbele kulalamika. Endeleeni kulalaùika na mwisho wake mtaunda alqeeda hapa bongo.
 
Hii mada imeanzishwa saa 8 lakini mpaka sasa walochangia wanakaribia 200.

HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAKUKOSEA, MAKAFIRI NDIVYO MLIVYO.

MNACHUKI ILOPINDUKIA DHIDI YA WAISLAM.

MKISIKIA WAISLAM WANATAKA KUWA WAMOJA NA KUFANYA JAMBO LOLOTE LENYE MANUFAA MNAPAGAWA.

MWENYEZI MUNGU HAKUKOSEA ALIPOSEMA MAKAFIRI WANAWAOGOPA SANA WAISLAM KULIKO WANAVYO MUOGOPA ALIYE WAUMBA.

Mbona mnatoa povu sana na matusi na kejeli za hali ya juu?

Kwa taarifa yenu uislam utaendelea kuwa juu ya mifumo mingine, mpende msipende.
 
Imagine waislam wanasoma mafundisho ambayo ni kufuru kwa wengine kama yalivyojaa katk vitabu vyao vyote.Imagine Wakristu waseme Yesu atakwena muoa Amina mama wa muhamad?Haya ndio mafundisho wa waislam kuwa Mohamad atakwenda Kumuoa Bikira Maria katika danguro lao waliitalo Pepo.Hilo ni danguro kama lina pombe,lina ngono za kumwaga.Islam is so ofensive to other religions kiasi cha kushindwa hata fikiri ingegeuzwa kinyume dunia ingeuweje?
 
Hakuna kitu united Islam au Muslims.Hii inaonyesha jinsi mnavypoteza muda kusoma vitabu vya wengine kwa kurukaruka bila kuijua dini yenu.Uislam haujawahi kuwa na mani au kuungana tangu muhamad alivyoondoka rasmi ktk uso wa hii dunia.

Mnaishi kwa assupmtions tuu.Kwa taarifa yako nina miaka zaidi ya saba nikiusona uislam extensively,bila lugha ya kiarabu.Nina copy za best translation ever.Ninaweza ona kwanini huwa hakuna busara katk maamuzi yenu zaidi ya vurugu.Cha kuchekesha ni kwamba waislam wengini wajinga sana wa uislam ndio maana wanatumika kueneza uislam kwa vurugu na uongo mwingi sana.

congratulations I bet your parents are so proud of you.
 
[QaUOTE=mkorakamili;4775840]Hakuna kitu united Islam au Muslims.Hii inaonyesha jinsi mnavypoteza muda kusoma vitabu vya wengine kwa kurukaruka bila kuijua dini yenu.Uislam haujawahi kuwa na mani au kuungana tangu muhamad alivyoondoka rasmi ktk uso wa hii dunia.

Mnaishi kwa assupmtions tuu.Kwa taarifa yako nina miaka zaidi ya saba nikiusona uislam extensively,bila lugha ya kiarabu.Nina copy za best translation ever.Ninaweza ona kwanini huwa hakuna busara katk maamuzi yenu zaidi ya vurugu.Cha kuchekesha ni kwamba waislam wengini wajinga sana wa uislam ndio maana wanatumika kueneza uislam kwa vurugu na uongo mwingi sana.[/QUOTE]

sasa kama ni wajinga, mbona unapoteza muda kujibishana nao?

Ndani ya nafsi zenu makafiri mmejawa na hofu, waislam wakikohoa tu mnatetemeka.

Na bado, hiyo ni trela, mkanda kamili unakuja.
Unajifanya unaujua uislam wakati hapo ulipo umejaa NAJIS.
Hahahaha....
Makafiri bana, mnavituko sana.
 
congratulations I bet your parents are so proud of you.

mkuu jamaa hajui analo liongea, ananuka najis halafu anasema ameusoma uislam.

Anasahau kusoma, kuelewa na kufanyia kazi ulicho kisoma ni mambo 3 tofauti.
 
Hii mada imeanzishwa saa 8 lakini mpaka sasa walochangia wanakaribia 200.

HAKIKA MWENYEZI MUNGU HAKUKOSEA, MAKAFIRI NDIVYO MLIVYO.

MNACHUKI ILOPINDUKIA DHIDI YA WAISLAM.

MKISIKIA WAISLAM WANATAKA KUWA WAMOJA NA KUFANYA JAMBO LOLOTE LENYE MANUFAA MNAPAGAWA.

MWENYEZI MUNGU HAKUKOSEA ALIPOSEMA MAKAFIRI WANAWAOGOPA SANA WAISLAM KULIKO WANAVYO MUOGOPA ALIYE WAUMBA.

Mbona mnatoa povu sana na matusi na kejeli za hali ya juu?

Kwa taarifa yenu uislam utaendelea kuwa juu ya mifumo mingine, mpende msipende.
Wakristu wana haki ya kuwaogopa waislam kwa vile hakuna usalama wao mikononi mwa waislam,ila kwa Mungu wao wa upendo wapo salama.

Waislam hawana cha kuhofia kwa Makafir kwani makafir hawamiliki terrorism.Ndio maana Lipumba hana cha kuhofia.Ndio maana Sheikh Simba alikuwa na hofu sana juzi ingawa alikuwa kiongozi wa kidini.

Utaon ajinsi gani hata waislam wanaogopana kuliko hata Mungu wao.Muulize sheikh simba,au mawazir wa pakistani,afghanistani, Somalia na hata yule sheikh mkubwa wa Nation of Islam Farhkhan.
 
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.
Aliwtaka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.

HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA
Hivi kweli huyu ni profesa!!!??? Nina wasi wasi!!
Angemshauri mzee ruksa wakati akiwa mshauri mkuu. Kweli huyu MNAFIKI MKUU damn crazy. Profesa ZUZU!!
 
mkuu heshimu imani za watu, unaporomosha shutma wakati uislam hauujui.

Uliza uelimishwe na sio kuonge usicho kijua.

You a very cheap looser.Unifundishe nini?NImepiga zaidi ya miaka 7 nikichambua kila kitabu cha kiislam. Sijui kama unajua nilipata wapi jua kuwa waislam mndanganyana kuwa mtapewa Bikira Maria na Ndugu zake peponi mkafanye nao ngo zembe.Hii ni moja tuu ya kufuru na uhuni unaowaharibu watu walio jisalimisha.
 
ebu taja vitabu vya kiislam unavyovijua?
 
Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.
Aliwtaka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.

HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA

yangu macho!
 
kama ilifikia hapa mtu anawafundisha watu wengi hivi akiwepo na Lipumba kuwa akienda ktk hilo danguro liitwalo pepo ya waislam ataenda jipatia Maria mama wa imani ya WakristuNI wapi waislam watakuwa na adabu?
"The Messenger of God ... said, ‘God MARRIED ME IN PARADISE TO MARY THE DAUGHTER OF 'IMRAN and to the wife of Pharaoh and the sister of Moses.' (Tabarani)" (Ibn Kathir, Qisas al-Anbiya [Cairo: Dar al-Kutub, 1968/1388], p. 381- as cited in Aliah Schleifer's Mary The Blessed Virgin of Islam [Fons Vitae; ISBN: 1887752021; July 1, 1998], p. 64; bold and capital emphasis ours)

Islam is much more offensive to others than otherwise.Surprises haziishi ktk kundi la waislam.SOma footer yangu jinsi waethiopia kwa vile walikuwa waislam walivyodhauriwa na muhamad.pamoja na kuwa Mfalme wa Ethiopia alimkaribisha na kumpatia hifadhi pamoja na silaha na kujilinda.Alichoambulia ni kuachia nchi yake matatzio ya kizazi kirefu kinachokuja.Hatuwezo shangaa yanayotokea kwa viongozi wetu wakristu.Au familia zetu za Kikristu zinazojituma wasaidia na wakitoka ndio kam aunavyomowna JK,Lipumba na wengine waliotarajiwa kuwaendeleza wenzao, kuleta mridhiano.Hawa hawa ndio hula hata hela za msikiti, na yatima.
 
mkuu jamaa hajui analo liongea, ananuka najis halafu anasema ameusoma uislam.

Anasahau kusoma, kuelewa na kufanyia kazi ulicho kisoma ni mambo 3 tofauti.

mkuu achana naye!! ukianza kubishana na hizi multiple IDs utapigwa ban mwisho.. ! ningeendelea naye katika huu mjadala angetumia ID yake ya kila siku! ...

mpotezee!!! .. mkuu
quran [7:199] Be tolerant, command what's right, pay no attention to foolish people
 
Wakristu wana haki ya kuwaogopa waislam kwa vile hakuna usalama wao mikononi mwa waislam,ila kwa Mungu wao wa upendo wapo salama.

Waislam hawana cha kuhofia kwa Makafir kwani makafir hawamiliki terrorism.Ndio maana Lipumba hana cha kuhofia.Ndio maana Sheikh Simba alikuwa na hofu sana juzi ingawa alikuwa kiongozi wa kidini.

Utaon ajinsi gani hata waislam wanaogopana kuliko hata Mungu wao.Muulize sheikh simba,au mawazir wa pakistani,afghanistani, Somalia na hata yule sheikh mkubwa wa Nation of Islam Farhkhan.

MNATUOGOPA KWASABABU MANJUA UISLAM NI DINI KAMILI JUU YA DINI ZENU YA KUTUNGA.
HAMKO TAYARI KUONA WAISLAM WANAKUWA NA NGUVU KWASABABU UISLAM NI NURU, UKISIMAMA
GIZA LOTE (UKAFIRI) UNAONDOKA.

ACHA KULETA POROJO ZA UGAIDI, HAKUNA AYA HATA MOJA KATIKA QURAN INAYO RUHUSU KUUA NAFSI ISIYO NA HATIA.
KAMA UNATAKA KUUJUA UISLAM TEMBELEA Alhidaaya.com UTTAPATA MAMBO MENGI YA KUUUNDOA UJINGA ULIONAO.

MMEZOEA KUWAONA WAISLAM WAKO CHINI SIKU ZOTE NDOMANA WAKUTAKA KUUNGANA KUFANYA JAMBO MANAHAHA.
TAMBUA WAISLAM WA LEO SIO WA JANA, HILA ZENU NA CHUKI ZENU HAZIWEZI KUWAZUIA.

FUUATILIA UONE DUNIANI UISLAM UNAVYO KUWA KWA KASI KULIKO DINI NYINGINE YEYOTE, WAKATI ILAYA NA AMERKA WATU WANAZIDI KUPUNGUA KWENDA KANISANI NA MAKANISA YANAFUNGWA, MISIKITI NDO INAZIDI KUFUNGULIWA KILA KUKICHA.

HAMUWEZI KUPAMBANA NA NGUVU YA ALLAH SUBUHANA WATAAALA, MTAJIMALIZA WENYEWE.
 
kama ilifikia hapa mtu anawafundisha watu wengi hivi akiwepo na Lipumba kuwa akienda ktk hilo danguro liitwalo pepo ya waislam ataenda jipatia Maria mama wa imani ya WakristuNI wapi waislam watakuwa na adabu?
"The Messenger of God ... said, ‘God MARRIED ME IN PARADISE TO MARY THE DAUGHTER OF 'IMRAN and to the wife of Pharaoh and the sister of Moses.' (Tabarani)" (Ibn Kathir, Qisas al-Anbiya [Cairo: Dar al-Kutub, 1968/1388], p. 381- as cited in Aliah Schleifer's Mary The Blessed Virgin of Islam [Fons Vitae; ISBN: 1887752021; July 1, 1998], p. 64; bold and capital emphasis ours)

nimegundua ktu.taja vitabu vya kiislamu ulivyosoma ili nithibitishe kwamba unaujua uislamu.
 
Hakuna kitu united Islam au Muslims.Hii inaonyesha jinsi mnavypoteza muda kusoma vitabu vya wengine kwa kurukaruka bila kuijua dini yenu.Uislam haujawahi kuwa na mani au kuungana tangu muhamad alivyoondoka rasmi ktk uso wa hii dunia.

Mnaishi kwa assupmtions tuu.Kwa taarifa yako nina miaka zaidi ya saba nikiusona uislam extensively,bila lugha ya kiarabu.Nina copy za best translation ever.Ninaweza ona kwanini huwa hakuna busara katk maamuzi yenu zaidi ya vurugu.Cha kuchekesha ni kwamba waislam wengini wajinga sana wa uislam ndio maana wanatumika kueneza uislam kwa vurugu na uongo mwingi sana.

sasa kama ni wajinga, mbona unapoteza muda kujibishana nao?

Ndani ya nafsi zenu makafiri mmejawa na hofu, waislam wakikohoa tu mnatetemeka.

Na bado, hiyo ni trela, mkanda kamili unakuja.
Unajifanya unaujua uislam wakati hapo ulipo umejaa NAJIS.
Hahahaha....
Makafiri bana, mnavituko sana.

Kwa vile sitaki huo ujinga utumike kuwaangamiza wengine na kulazimisha wengine wasiopenda kuumiza kichwa kudanganyika.Si nadra kuona hata mtu asiyejua sana kuhusu mambo ya dini akijikuta anaonja ukatili wa waislam pale wanapolazimishwa wakubali kitu kisichoingia kichwani logically.

Najisi ipi sasa.Hembu nipe tfsiri ya Najis hata kwa uelewa wako wa kiislam n amifano angalau mitatu halafu tuone ni vingapi Mtume hakufanya .

Hembu niambie Logic ya kufanya ngono na marehemu?Angalau nijue kama kweli makafiri wanawakosea?Usipende kurupuaka tuu kwa sababu dini iliyopo ktk maswali ndio unayoamini.
 
kama ilifikia hapa mtu anawafundisha watu wengi hivi akiwepo na Lipumba kuwa akienda ktk hilo danguro liitwalo pepo ya waislam ataenda jipatia Maria mama wa imani ya WakristuNI wapi waislam watakuwa na adabu?
"The Messenger of God ... said, ‘God MARRIED ME IN PARADISE TO MARY THE DAUGHTER OF 'IMRAN and to the wife of Pharaoh and the sister of Moses.' (Tabarani)" (Ibn Kathir, Qisas al-Anbiya [Cairo: Dar al-Kutub, 1968/1388], p. 381- as cited in Aliah Schleifer's Mary The Blessed Virgin of Islam [Fons Vitae; ISBN: 1887752021; July 1, 1998], p. 64; bold and capital emphasis ours)

Islam is much more offensive to others than otherwise.Surprises haziishi ktk kundi la waislam.SOma footer yangu jinsi waethiopia kwa vile walikuwa waislam walivyodhauriwa na muhamad.pamoja na kuwa Mfalme wa Ethiopia alimkaribisha na kumpatia hifadhi pamoja na silaha na kujilinda.Alichoambulia ni kuachia nchi yake matatzio ya kizazi kirefu kinachokuja.Hatuwezo shangaa yanayotokea kwa viongozi wetu wakristu.Au familia zetu za Kikristu zinazojituma wasaidia na wakitoka ndio kam aunavyomowna JK,Lipumba na wengine waliotarajiwa kuwaendeleza wenzao, kuleta mridhiano.Hawa hawa ndio hula hata hela za msikiti, na yatima.

Mmekosea sana kuwasaidia, sasa wana waliza kwa kuwazindua waislam wenzao.
Kwi kwi kwi.....

Nenda kasome, acha porojo.
Huujui uislam hata kidogo. Twahara yako hauja ijua sembuse kuujua uislam.
 
kwa vile sitaki huo ujinga utumike kuwaangamiza wengine na kulazimisha wengine wasiopenda kuumiza kichwa kudanganyika.si nadra kuona hata mtu asiyejua sana kuhusu mambo ya dini akijikuta anaonja ukatili wa waislam pale wanapolazimishwa wakubali kitu kisichoingia kichwani logically.

Najisi ipi sasa.hembu nipe tfsiri ya najis hata kwa uelewa wako wa kiislam n amifano angalau mitatu halafu tuone ni vingapi mtume hakufanya .

Hembu niambie logic ya kufanya ngono na marehemu?angalau nijue kama kweli makafiri wanawakosea?usipende kurupuaka tuu kwa sababu dini iliyopo ktk maswali ndio unayoamini.

we kafiri acha porojo, leta ushahidi wa unachoonge.
Usilam ni zaidi ya uujuavyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom