Lipumba, unalipeleka wapi taifa hili?

JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.

mkuu kama bado upo hai waweza irudia tena hii kauli yako? Jk na huyu nani ana afadhali? kipindi kipi maisha yamekua magumu zaidi?
 
Bado unamtilia shaka Lipumba?
 
Huyu lipumba anafaa kupingwa na vyama vyote kweli
 
sasa hivi unamuunga mkono au bado una mashaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…