Lipumba, unalipeleka wapi taifa hili?

JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
haya sasa ni matusi kwa rais hayo maombi yako haywezi kupokelewa na mungu muombee yule unayempenda ndiye aanze kama kifo unakipenda.
 
Dua la kuku halimpati mwewe kweli

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hawa wazee wananini lipumba kaanza haya,slaa alianza kitambo lowasa naye ndo hivyo sasa hawa wazee kama wanakuwa na uchu wa madalaka kiasi hiki wanatupeleka wapi wazee wenzao wawashauri hawa wazee siyo busara wanavyofanya hawa wazee,wanafundisha nini kwa wanasiasa vijana.
 
tujaribu hata kuwa na hofu ya mungu kweli hii post imejaa uongo huu sasa utani؛
 
wewe utakuwa someone mwenye ID ya kuchonga, ungejua maendeleo ya kusini yalivyo nyuma wala usingediriki kulihusisha swala hili na gesi, rasilimali ya gesi ndo turufu pekee ya wanamtwara kupata maendeleo toka serikalini, angalia utalii ulivyoibeba Moshi na Arusha, angalia Madini kule mji wa kahama, kuondoa gesi mtwara ni kuikandamiza zaidi mikoa ya kusini, korosho zao hawalipwi wakilalamika mnawaambia wanatumiwa na wanasiasa.

Waishije sasa? watakuwa masikini hadi lini, barabara mwaka wa 8 huu haikamiliki, wataendeleaje? acheni kuwakandamiza wananchi kiasi hicho jamani, wao ni binadamu wana thamani
 

mkuu, nakubaliana na wewe kuwa mikoa ya kusini haijafikia kiwango kikubwa cha maendeleo. lakini hii ya wanasiasa kutumia umaskini wa wananchi kwa maslahi yao ya kisiasa ni janga la taifa. matokeo yake na wao wanaanza kutumika kwa maslahi ya makampuni
 
JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.

Hapo penye bold naweza kusema uko sawa kabisa, lakini hapo kwenye red, mkuu MNYISANZU hayo ni maneno mazito/makali sana na kwa kufanya hivyo tunaingilia hadi utendaji wa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu, pia kinachowauma zaidi ni kuona miradi hiyo wanasimamia wachina. upo uwezekano pia hata aggreco wanatumika tu kwa faida ya mataifa ya magharibi

Hili neno kuwa fulani anatumika na mataifa ya magharibi linakera sana, watanzania mmejazwa ujinga nanyi kila comment yenu ni hayo hayo kuwa mataifa ya magharibi yana mkono wake sijui kwenye gesi mara maandamano.

Hivi haya mataifa yakijitoa leo kuchangia bajeti ya serikali ambapo wanachangia zaidi ya 38% na kwenye miradi ya maendeleo zaidi ya 50% Nchi itatawalika? niambie wachina wanaweka kiasi gani kwenye bajeti ya serikali ambayo wabunge wanakaa miezi mitatu dodoma kujadili, jibu ni sifuri.

Tujadili matatizo yetu kwa hoja na sio kushambulia mara nchi za magharibi mara ,,, wakati watatwala wanashinda huko kuomba mkate kila siku.
 
JK ni janga la kitaifa. Akifa nitafanya sherehe kubwa kufurahia kifo chake kwani ameliangamiza taifa letu.
....mkuu kwa hili......... umekimbia sana hadi umepitiliza nyumbani kwako....
 
mkuu, inadaiwa kuwa wanamtumia lipumba kwa vile yeye ndiye kiongozi wa chama cha upinzani mwenye ushawishi mkubwa sana kule mtwara

Huu ni uzushi sasa!! Haya madai ni tuhuma za kupikwa na mleta mada halafu anasema source ni yeye mwenyewe!

Tiba
 
....mkuu kwa hili......... umekimbia sana hadi umepitiza nyumbani kwako....

mkuu, hiyo ni sababu ya kutumika. amesahau hata anajadili nini. tunaongelea suala la lipumba yeye anamwandama jk
 
Huu ni uzushi sasa!! Haya madai ni tuhuma za kupikwa na mleta mada halafu anasema source ni yeye mwenyewe!

Tiba
mkuu, wala hulazimishwi kuamini kilichoandikwa. ni bora ukasepa tu uwaache wenye akili wajadili
 
Huu ni uzushi sasa!! Haya madai ni tuhuma za kupikwa na mleta mada halafu anasema source ni yeye mwenyewe!

Tiba

dada, kwa hiyo ulitaka niseme kuwa source tbc, tanzania daima au nipashe ndo uamini?
 
mkuu kwa nini tusijadili maendeleo ya mtwara kwa kina na kwa mantiki ya kutatua matatizo ya mtwara na siyo kutatua kwa vurugu kama unavyofikili wewe,na unafikiri vurugu na mandamano ndiyo yataleta maendeleo.
 
hivi serikali wakisiliza watu wa mtwara Lipumba atakuwa na nguvu kweli ya kuwashawishi wafanye fujo mpaka watu wafanye fujo kuna sababu .....walaahidi kujenga viwanda ikiwemo cha mbolea mpaka leo kimya......bandari nayo hoi....ila ile ya bagamoyo itajengwa kwa gharama yoyote ya taifa zima....kiipande cha barabara kilomita 60? miaka saba........afu wakae wanaangalia tu wenzao wanavyoneemeka ......lazima rasimali zinapotoka watu wafaidike nazo......
 
Mkuu unataka kutuaminisha kua wanamtwara hawana akili hadi wamkubalia prof awaendeshe kufanya vurugu kwa serikali?je wanamtwara wote ni wa cuf? Linapokuja suala la maslahi ya wananchi tuweke itikadi zetu pembeni na kuungana kwa pamoja kupigania haki za wanyonge.


"if i asked to choose between my country and my party i will choose my country". Prof mwesiga baregu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…