Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
- Thread starter
- #41
Lumumba mnafeli sana kwenye hoja!Mtumeee hili povu linasafisha nguo zote za Dar walahi uwiii
Lumumba mnafeli sana kwenye hoja!Mtumeee hili povu linasafisha nguo zote za Dar walahi uwiii
Hahahahaaaaa,profesa tumbo!Amelijenga tumbo zaidi.
Kura za urais ni mojawapo,ila kwakuwa CUF haikuwa na mgombea urais 2015,basi wanategemea idadi ya wabunge wa kuchaguliwa kupata ruzuku!Ruzuku haiwezi kuathirika maana huwa inategemea na kura za urais… labda hapo 2020. Kwa sasa ataendelea kula ruzuku kwa sana
Prof njaa sasa atakuwa amejua CCM walikua wakimtumia,sasa hana manufaa tena wanammaliza!akiona ujumbe wako ataongeza kulia sana
Keshafika ila bado hajakaa kitakoLipumba anaelekea kule kwa akina Mrema na Cheyo
Lipumba hatoki kaliua....anatoka kijiji kinaitwa ilolangulu mkoa wa tabora...Kashamaliza kazi anarudi zake Kaliua akale pesheni... ina who?
Wabunge wangapi kabla na baada ya uchaguzi? Swali rahisi kabisa.Ilikuwa na wabunge wengi hususan zanzibar. This chadema wamechangia sana kuimaliza cuf kwa taarifa yako
Wilaya?Lipumba hatoki kaliua....anatoka kijiji kinaitwa ilolangulu mkoa wa tabora...
Wilaya ya UYUIWilaya?
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!
Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
Mchapa kazi gani aliyekiacha chama vitani kwa vipande 30 vya fedha?Mwerevu gani aliyehongwa kurudisha vurugu kwenye chama?CCM ilishtuka sana baada ya Seif kushinda zanzibar 2015,wakaona walifanya makosa kuingia kwenye uchaguzi na chama ambacho walikiunderestimate!Wakaona hawatafanya makosa hayo tena,plan ikawa kukisambaratisha kabisa!Wakampata wa kumtumia,naye ni Lipumba!Wakamrejesha,kwa msaada wa Msajili wa vyama vya siasa,wakamtambua kama mwenyekiti!Akawafukuza wabunge wote viti maalum CUF,kesi ikiwa mahakamani na spika akiwa india kutibiwa mambo yalifanyika ndani ya siku 3 kumwezesha lipumba kuivuruga CUF!Mwenye kosa kwa Prof Lipumba kawa na nafasi ndani ya CUF ni Maalim Seif kwa kutokumfukuza UANACHAMA wa CUF mwezi ule ule alipokimbia na kuwaacha wanajeshi wa CUF vitani wakati wa kampeni za Urais, Ubunge na Udiwani Octoba 2015!!!! Alipokimbia vita kesho yake ilikuwa afukuzwe UANACHA WA CUF lakini Maalim Seif alimuana Prof Lipumba ni hazina na lulu kwa chama cha CUF, bila Lipumba hakuna CUF!!!!!!!! Kwa hiyo waache kulialia, waache kimsema Prof kwani ni hazina, waache kumlaumu kwani hana kosa hata dogo, ni mchapakazi, mwelewa, mwerevu, mpambanaji mzuri ambaye kwake hakuna ‘FAILURE’! I stand to be corrected if I am wrong.
Dhambi ya usaliti nayo itawaacha???Lakini kesha komba mabilioni ya ruzuku ambayo yatamuwezesha kuishi maisha yake yote mpaka kufa na chenji kubaki pamoja na yule mama wanayeshirikiana naye. Wale hawapo pale kwaajili ya chama wapo kwaajili ya kukomba pesa zote huku wakisaidiwa na serikali kupitia kwa msajili hivyo chama kitakapo kufa wao watakuwa wamebaki na mkoba au lumbesa ya ruzuku ya chama.
Hata ikifa bado anakula posho yake kitengoni hapo kuwafundisha vijana uchumi.huyo ni agent.Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!
Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
CUF ife tu,tubaki na vyama vyenye nguvu!Maalim Seit nae yupo mbion kuhama kuelekea chama kidzigo zaid Kule Visiwani