Lipumba ulidanganywa na CCM ukaingia mzima mzima,sasa CUF inazikwa ikiwa hai!

Wanaume awakimbii vita,usitegemee waliowahi umizwa wakawa upande ule heri wafe masikini kuliko kuikosea au kuisaliti nafsi mbele ya fedha.Mfano Lisu,Mbowe,Lema,Sugu,Haonga,Heche,Mzee,Msigwa,Nasari,Mnyika,Kubenea,Boni,hawa wanajielewa
Saa sita usiku ni mbali Mkuu Mara paap Lissu anatuma barua yake kwa njia ya kieletroniki
 
Wanaume awakimbii vita,usitegemee waliowahi umizwa wakawa upande ule heri wafe masikini kuliko kuikosea au kuisaliti nafsi mbele ya fedha.Mfano Lisu,Mbowe,Lema,Sugu,Haonga,Heche,Mzee,Msigwa,Nasari,Mnyika,Kubenea,Boni,hawa wanajielewa
Mkuu angalia kubenea na mnyika wasijebadilisha mawazo kabla ya SAA 6
 
Lakini kesha komba mabilioni ya ruzuku ambayo yatamuwezesha kuishi maisha yake yote mpaka kufa na chenji kubaki pamoja na yule mama wanayeshirikiana naye. Wale hawapo pale kwaajili ya chama wapo kwaajili ya kukomba pesa zote huku wakisaidiwa na serikali kupitia kwa msajili hivyo chama kitakapo kufa wao watakuwa wamebaki na mkoba au lumbesa ya ruzuku ya chama.
Wamesaidiana na kufanikiwa kuizika CUF!
 
Wanaume awakimbii vita,usitegemee waliowahi umizwa wakawa upande ule heri wafe masikini kuliko kuikosea au kuisaliti nafsi mbele ya fedha.Mfano Lisu,Mbowe,Lema,Sugu,Haonga,Heche,Mzee,Msigwa,Nasari,Mnyika,Kubenea,Boni,hawa wanajielewa
Dr slaa?
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
Sio tu CUF na Chadema nao njia moja Kwa ajiri ya tamaa yao ya uongozi wa nchi Kwa kumsajiri Lowasa, yanayojiri 2020 yanafurahisha wabunge wa upinzani hawatazidi 10 ingawa si Jambo la kufurahia hata kidogo
 
Unadhani wasingemkaribisha Lowassa,usajili huu usingefanyika?
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
akiona ujumbe wako ataongeza kulia sana
 
Mwanzisha thread Lipumba unayemuongelea ni wakufikirika,

Lipumba halisi hajawahi kuwa mpinzani bali yuko upinzani kwa kazi ya kuhakisha upinzani haupati nguvu za kukisumbua chama tawala na wapo wengi mno kuna watu wana kesi kila Wilaya na wanaponda Serikali miaka nenda miaka rudi lakini wako kule strategically kudhibiti watu wenye nia thabiti na ya dhati ya kuwa wapinzani.
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!
Ruzuku haiwezi kuathirika maana huwa inategemea na kura za urais… labda hapo 2020. Kwa sasa ataendelea kula ruzuku kwa sana
 
Cuf haikufa ikiwa na wabunge 2 tu kutoka Tanganyika ije ife leo ikiwa na wabunge sita wa majimbo tanganyika

Pili wewe ni mgeni na cuf ,
Target ya cuf ilikuwa ni Zanzibar kwanza ikishakombolewa Zanzibar ndio chama kije upande wa bara
huku bara cuf haikuwa na malengo kabisa ya kuchukua dola
Ndio maana chama cha cuf akina mtandao moshi,Arusha ,mwanza,tabora,mbeya,iringa,ruvuma ,katavi ,sumbawanga nk,

Kilijikita zaidi pemba na 2015 kikaongeza nguvu unguja
na huku bara waliongeza nguvu maeneo ya pwani kupitia dhehebu fulani la DINI

KUHUSU RUZUKU,
ipo pale pale hakuna fungu litakalo pungua ruzuku ilishapangwa tokea 2015;
Labda waondoke wabunge wote

Hata ccm waongeze wabunge wengine 50 ruzuku yao inabaki pale pale..
 
Husing
Unadhani wasingemkaribisha Lowassa,usajili huu usingefanyika?[/QUO
Siwezi sema Kwa hilo lakini Kwa uhakika kabisa usajili wa Lowasa chadema ulikuwa ni turufu kama wangepata uraisi, walipokosa ndio ikawa anguko lao kubwa. Siku hiyo walipomsajili Lowasa watu wanaojua siasa ndio waliondoka chadema kimya kimya na pia wanaoondoka kwenda ccm pia ni Kwa maslai yao maana wamechungulia 2020
 
Uliwaona CCM ni jamaa zako,ukakisaliti chama,haikutosha ukarudi kukibomoa kwa kulazimisha uenyekiti!

Sasa rukuzu zinaenda kupukutika!Umekimbiwa na viongozi wenye ushawishi ndani ya CUF!
Uliijenga CUF kwa miaka mingi,ukaingizwa mkenge na kuibomoa kwa muda mfupi!
Sasa pambana na hali yako,najua umeijua rangi halisi ya CCM!

Mtumeee hili povu linasafisha nguo zote za Dar walahi uwiii
 
Back
Top Bottom