Ni kweli kabisa, spika anachezea kitiMwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, amesema kwamba yanayotokea Bungeni ni matokeo ya KITI cha Spika kufanya upendeleo waziwazi, kwa kuwakandamiza Wabunge wa Upinzani!!
Alisema ni Vigumu sana Bungeni kuwepo utulivu kama kiti cha Spika kitaendelea kuwaonea Wabunge wa Upinzani!!
Source: Gazeti la Nipashe
Profesa naye awe mkweli; asitake kuzunguka mbali bila sababu. Badala ya neno wapinzani aweke neno sahihi. Nadhani hakusikia mbunge wa chama chake Habib Mnyaa alivyokuwa anamwaga pumba kwenye media baada ya lile tukio la aibu la kiti cha Spika.
Kumbe Profesa Lipumba hawachukii chadema ila wao chadema wanamchukia Profesa lipumba.
Kumbe sio profesa uchwara.
Sasa nauliza swali: Maprofesa kama hawa Tanzania tunao wangapi? Tunawaenzi vipi??
CUF ni vipande vipande, msimamo wa Mwenyekiti sio msimamo wa viongozi wengine, na kila mtu anaongea yake kwenye media...Nadhani hakusikia mbunge wa chama chake Habib Mnyaa alivyokuwa anamwaga pumba kwenye media baada ya lile tukio la aibu la kiti cha Spika.
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, amesema kwamba yanayotokea Bungeni ni matokeo ya KITI cha Spika kufanya upendeleo waziwazi, kwa kuwakandamiza Wabunge wa Upinzani!!
Alisema ni Vigumu sana Bungeni kuwepo utulivu kama kiti cha Spika kitaendelea kuwaonea Wabunge wa Upinzani!!
Source: Gazeti la Nipashe
Sawa. Lakini mimi sielewi huyu prof anafanya nini akiwa bungeni. kama anaona huyo spika anafanya hayo mambo yeye mbona aombi mwongozo ili tujue usomi wake una maana katika kuleta mabadiriko ktk nchi yetu! Sasa mimi ninazidi kuchoka na usomi katika siasa zetu!!!
baba wa taifa mwalimu Nyerere hakuwa prof na dr za kupewa alizikataa. Ndugu yetu mpendwa Sokoine hakuwa na hizo dr. zenu lkn kazi ilitendeka!!!