CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
wazee wa lumumba sasa mmechoka mpaka magazeti ya zilipendwa mnayatumia?
Sijawahi kusikia au kuona mke na watoto wa lipumba.
kifupi ana stress za maisha pamoja na uprofesa wake. So tumsamehe bure hajielewi hajitambui
Muwe mnajibu hoja. Kuona mke wake kunahusiana nini na hoja aliyoitoa Lipumba. Mbona wewe hatujawahi kuona mumeo? Mta haibika ngoja oct 25 ije. Mtaficha sura zenu za kinafiki za kukodi watu wajizimie ovyo ovyo. WATANANZANIA TUMESHAWASTUKIA
Ni Mtanzania Daima hilo mkuu.Kwa kuficha kicwa cha galazeti tayari imeudhihirishia umma kuwa wewe ni fedhuri jeuri muongo firauni na mzandiki
Kauli haina mda!Ya mda sana ndugu 2012
Ningefichaficha usingeona iyo ya CCM!Mbona unafichaficha. Halafu angalia hiyo ya juu yake ccm inatesa hadi wanafunzi wanafikia kupandishwa kizimbani kwa chakula. Lazma ing'oke
Kauli haipitwi Mkuu!wazee wa lumumba sasa mmechoka mpaka magazeti ya zilipendwa mnayatumia?
Huo ndio ucheza disko wako.... badala ujadili hoja, unazungumzia mambo ya kifamilia!Sijawahi kusikia au kuona mke na watoto wa lipumba.
kifupi ana stress za maisha pamoja na uprofesa wake. So tumsamehe bure hajielewi hajitambui
Ndio maana kawatema na mamvi wenu!Alivyoungana nao walikuwa sio wacheza disko?
Tupo ndio maana tunajadili hoja yake sasa!hivi kuna mtu anamsikiliza huyu jamaa tena jamani ?