Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,553
Seif na wenzake hawawezi wakatuhumiwa na Lipumba kukidhoofisha chama halafu wafuasi wao wakapona na tuhuma hizo, kama Seif ni mtuhumiwa wa kukidhoofisha chama hata wafuasi wake ni watuhumiwa wa kosa hilo.
Jambo ambalo Lipumba anatakiwa kulijua,Kama Seif kavuliwa uwanachama wa cuf ina maana kavuliwa pamoja na wafuasi wake,alipo Seif na wafuasi wake wapo, alipo Lipumba na wafuasi wake wapo,kwa hiyo Seif hawezi kuwa mbaya wafuasi wake wakawa wazuri,kumkataa Seif ni kuwakataa wafuasi wake.