lipumba alikimbia mgawanyo wa majimbo?

lipumba alikimbia mgawanyo wa majimbo?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,829
Mgawanyo huu wa majimbo umeonesha kuwa CUF ni chama kilichokufa bara.

Hata Tabora ambapo harakati za CUF ziliasisiwa kumeonekana ni ngome ya Chadema!
 
sikutegemea CUF ingejizolea majimbo mengi hivi na jinsi walivopoa katika siasa
 
CUF walikuwa honey moon toka 2010.hayo waliyopewa ni kwa heshima tuu vinginevyo ingekuwa aibu
 
Back
Top Bottom