Lipumba akacha wanachama

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
hii imekaaje kwa cuf kupanga maandamano na kisha asiwepo mwenyekiti au makamu wake? Na ni kwa nini wanaandamana kwa staili ya kuwakwepa polisi? Polisi wakipita mtaa huu wenyewe wanahamia mwingine? Wanadai demokrasia ipi (kama anavyodai kaimu katibu wao) wakati walishaitambua serikali na kumkabidhi JK ilani yao.
Kati ya CDM na Cuf nani haeleweki?
 
Shida ya katiba ni ya wote, kulinganisha kati ya CDM na CUF nani zaidi ni kukwepa ukweli, inapaswa wote waungane kudai katiba.
 
excellent response/s, hii ni ya WOTE na si kikundi/chama fulani kudai kipekee jambo kubwa kama hili.
 
Kuna gari kama sita hivi za FFU zinawasubiri wizara ya katiba na sheria!
 
Shida ya katiba ni ya wote, kulinganisha kati ya CDM na CUF nani zaidi ni kukwepa ukweli, inapaswa wote waungane kudai katiba.

Mkuu huoni kama hawa viongozi wa cuf wanadhihirisha kuwa kukitokea tatizo wakiwa madarakani watatoweka?
 
Maji ya kuwasha munayaogopa nyie tu ambao viongozi wenu hawaumii ktk harakati za kisiasa mpaka waanguke bafuni. Watu wemepigwa risasi wataogopa maji?
 
Nimepishana na moja la maji ya kuwasha.

Jana Kova alisema ameamuru kuongezwa kilo 10 za pilipili ya unga ndani ya maji hayo baada ya kuhisi Cuf ni wagumu sana kufuata amri halali. Ni watu wanaohatarisha amani tu!
 
hii imekaaje kwa cuf kupanga maandamano na kisha asiwepo mwenyekiti au makamu wake? Na ni kwa nini wanaandamana kwa staili ya kuwakwepa polisi? Polisi wakipita mtaa huu wenyewe wanahamia mwingine? Wanadai demokrasia ipi (kama anavyodai kaimu katibu wao) wakati walishaitambua serikali na kumkabidhi JK ilani yao.
Kati ya CDM na Cuf nani haeleweki?

Twende kidogo Off road tuangalie AVATAR Yako Isaac. Nimeipenda sana
 
Maji ya kuwasha munayaogopa nyie tu ambao viongozi wenu hawaumii ktk harakati za kisiasa mpaka waanguke bafuni. Watu wemepigwa risasi wataogopa maji?
Inaelekea wewe risasi ilikupata kwenye ubongo!
 
wangekuwa chadema ndo wameandamana ungeona wanavyojisifia. lakini wameandamana CUF tayari wameanza kuwaponda na suala linalodaiwa ni katiba. Hawa watu wa chadema wanaagenda yayo. ni watu wakuogopwa kama ukimwi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom