Salaam,Kwa kweli mmenifungua sana macho yangu katika huu ulimwengu wa mapenzi. So huwa ni hadithi za kijiweni tu kuwa ... usimwonyeshe mwanamke kuwa umempenda sana ....atakutawala eh?
.....umekosea.............valuu tatu!! I mean, hivi zile savana si zimefanana na valuu, au zimefanana na cocakola!! mi sijuagi vinywaji venye rangi bana!!!hapo utanidai bia tatu!...please!umeongea kitu fulani OUTSTANDING
What??? nipe AK47 yangu.....haya niambie ni wakina nani wamehusika!!
lakini ina maana umekuwa hard-core!!
Kwa kweli mmenifungua sana macho yangu katika huu ulimwengu wa mapenzi. So huwa ni hadithi za kijiweni tu kuwa ... usimwonyeshe mwanamke kuwa umempenda sana ....atakutawala eh?
Love deeply and affectionately. You may get hurt but its the only way to live life completely!!!
Inawezekana kabisa kuficha mapenzi MJ1. Mimi mwenyewe nina hakika ninampenda my gal kuliko ninavyomuonesha.JS thanx am fine mydia ninamshukuru MUNGU.
Ndio hapo sasa nashindwa kuelewa... kuna baadhi ya wanaume huwa wanasemaga eti ukumwonyesha mwanamke unampenda sana atakuchezea sasa nashindwa kuelewa ina maana wao wanauwezo wa kuficha?? au ndo usanii tena?
Mi nadhani kinachotokea cyo kwamba unaficha bali kutokana na kumbukumbu za kuumizwa unakuwa bado hujamkubali mpenzi wako mpya 100%. Kwa kifupi anakuwa bado hajakuingia kumtima mzima mzima.Ni kweli The Boss nakubaliana na wewe kabisa kuwa kama umeumizwa itakuchukua muda kuonyesha mapenzi ya kweli kwa mwenzi wako. But ni ngumu kwa mtu ambaye hajawahi kuumizwa lets say ndo mpenzi wa kwanza huyo. Mimi nadhani kuumizwa kwenye mapenzi ni bahati ya mtu- si kitu ambacho unawezapanga kuwa nitahakikisha mapenzini siumizwi na ni jambo la kumshukuru MUNGU au?
Mkuu hapo kwenye red umenipa angle muhimu sana ya kuangalia hili suala.Mj1 shkang!
Huwezi kuplan kumwonyesha mtu kama unampenda au laa. Hivi vitu vinatokea nachurale. We unaweza fikiri humwonyeshi kama unampenda kumbe ndiyo unamwonyesha mpaka ndugu, jamaa, marafiki na maadui wanaona.
So; kama unapenda mjukuu wangu MJ1, there is no way, mpenzio atajua tu. And otherwise of course.
Hapa mimi naona ni lugha tu ndio zinagongana ila kinachoongelewa ni kitu kilekile. Yaani unaposema we mpende tu, kwani kumpenda mtu hadi ajue unampenda maana yake ni nini. Kuna vitu unakuwa unafanya kwa umpendaye ndio vinavyofanya apendwaye ajue kuwa anapendwa na kwa kufanya vitu hvyo ndio tunasema anayependwa anaoneshwa kuwa anapendwa. Otherwise kama utasema we mpende tu halafu hakuna mabadiliko yeyote sina hakika sana kama hilo penzi litakuwa na maana yeyote kwa apendwaye....sweetheart, kwani unamuonyeshaje mtu kuwa unampenda? nadhani kumpenda mtu ni 'natural' tu wala haihitajiki kumuonyesha unampenda as if maisha ni Isidingo.
What I mean is, huna haja ya "kumuonyesha" mtu kuwa unampenda, wewe mpende tu mwenyewe atatafsiri anapendwa au la.
...or, did i miss your point swhr?
Mama anaweza kusema you are in love kwa sababu anakujua vizuri pengine kuliko hata unavyojijua wewe mwenyewe. kwa hiyo mama yako ku-detect hiyo situation haina maana kuwa hata unayempenda ameweza kuliona hilo.swala la kupenda linatokea automatically na huwezi kulicontrol,na ndio maana huwezi kuamua kuonyesha au kutokuonyesha hisia hiyo,itakuja tu na utashangaa hata mama yako anakwambia, 'i know you are in love...'
hehehehe!nilisema bia nikimaanisha VALUU!.....umekosea.............valuu tatu!! I mean, hivi zile savana si zimefanana na valuu, au zimefanana na cocakola!! mi sijuagi vinywaji venye rangi bana!!!
Be careful kuna uwezekano mkubwa wengi walioongea hapa wana mtazamo unaofanana kwa sababu ya mazingira yao or may be coincidence au sijui nini. kwanza ni watu wangapi walio-respond. Ukianza kuwahesaba sidhani kama wanazidi kumi. Sidhani kama ni busara kutumia maoni ya watu kumi ku-generalize hii ishu. Pata maoni kutoka kada mbalimbali kwanza na sio watu wenye access na JF peke yao. Ni angalizo tu.Kwa kweli mmenifungua sana macho yangu katika huu ulimwengu wa mapenzi. So huwa ni hadithi za kijiweni tu kuwa ... usimwonyeshe mwanamke kuwa umempenda sana ....atakutawala eh?
Kwa kweli mmenifungua sana macho yangu katika huu ulimwengu wa mapenzi. So huwa ni hadithi za kijiweni tu kuwa ... usimwonyeshe mwanamke kuwa umempenda sana ....atakutawala eh?