Lipi bora, SimTank au PolyTank?

Lipi bora, SimTank au PolyTank?

Mathias

Senior Member
Joined
Apr 22, 2009
Posts
118
Reaction score
12
Wakuu heshima kwenu,

Nataka kununua tank la maji, lipi bora zaidi, Sim tank au Poly Tank?
 
Nakushauri nunua Sim Tank..trusted by millions of people
Naskia huwa lina dumu kuliko hayo matank mengine..
 
Nunua simtank ni imara sana! ninalo la kwangu lina zaidi ya miaka nane na bado linadunda tu. Hawa jamaa wako vizuri sana!!
 
Nunua simtank ni imara sana! ninalo la kwangu lina zaidi ya miaka nane na bado linadunda tu. Hawa jamaa wako vizuri sana!!
yote yanadumu kikubwa utunzaji. polytank ni sawa tu na simtank, na isitoshe bei yake ipo chini.
 
Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu, maoni ya wengi hapa naona ni sim tank. Nimechukua ushauri wenu na ntanunua sim tank. Asanteni sana.
 
Kwa wanaohitaji kufahamu leo nimenunua simtank uhindini mjini 2,000 ltr ni 285,000.

Nimepiga simu kule makao makuu changombe wameniambia ni 320,000.
 
Kwa wanaohitaji kufahamu leo nimenunua simtank uhindini mjini 2,000 ltr ni 285,000.

Nimepiga simu kule makao makuu changombe wameniambia ni 320,000.
La lita elf tano tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom