Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Sasa mpaka unajiweka kitanzi kabisa mpira unadunda hao Argentina watatolew round ya makund
Ni lazima watatolewa round ya makundi?. Itategemea na timu za kundi atalokuwepo. Siyo kwamba nabisha hawezi kutolewa Lahasha, kama ulivosema "mpira ni dk 90" kwa hiyo anaweza fika mbali pia, kuchukua ni ishu nyingine, kwani kila timu iliyofuzu inalengo la kuchukua ndoo!
 
e8a6abda9e303ca23193f0510f020ea0.jpg
 
Mimi hujui kwamba Mimi nikipenda na Mungu nae anapenda na nikichukia basi hata Mungu nae huchukia hivyo hivyo? Watu wengi wenye mapenzi na Christiano Ronaldo huwa na ' matatizo ' makubwa ambayo pia ni magumu kutatulika. Ukitaka kuwa na furaha ya milele ungana na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali Lionel Messi.



Kwahyo Mungu anakuiga
 
Back
Top Bottom