Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Hali leo ilikuwa tete sana.Tumekubali matokeo
Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.
Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.
Ni Messi leo...........
Haya kaka Messi... Barca ndio mnapotea hivyo na wazee wenu
ndo ushuzi gani huyu nesi no red card no penalty hence no win balomania words..Ukitaka kujua ujuzi,umuhimu na uimara wa Lionel Messi aka Andunje,basi subiri FC Barcelona iwe kwenye wakati kama wa leo.Wakati ambao wanatakiwa kushinda tu na si vinginevyo. Katika mechi ngumu kama ya leo ya Klabu Bingwa Barani Ulaya dhidi y Atletico Madrid,Messi hufanya jambo jema na la kufurahisha kwa timu yake. Leo atafanya tena leo hii.
Messi atayapindua matokeo ya Camp Nou ya 1-1 na kuipeleka mbele FC Barcelona. Kama hatafunga,atasaidia kufungwa kwa goli au magoli. Messi anasubiriwa leo kuudhihirishia ulimwengu ubora wake usio kifani.
Ni Messi leo...........
ungeongezea na uefa also...Ronaldinho made Barca...Barca made Messi