"Lionel Messi is a super human"(commentator wa jana wa el classico!)

"Lionel Messi is a super human"(commentator wa jana wa el classico!)

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
129
2aba5d2b5ce0ee0c9e0b53c4f5652b19.jpg
 
Unadhani kwanini kaamua afanane na jesus
 
Kijana huyu kawalaza watu na viatu pamoja na kuchezewa rafu nyingi ilifikia hatua mpaka kumkaba wanaogopa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Unataka kuniambia zile faulo akiwa man city pale hawezi kuzitupia akikutana na kina Cardiff ??
Labda itajidhihirisha akiwa huko kuna watu walifanya makubwa kila walipoenda napenda siku moja nilione hili kwa Messi
 
Back
Top Bottom