nadhani kama unauelewa ujenzi na unafaham taratibu zake kuna kitu kinaitwa building team,unajua?!unafaham majukum ya kila mmoja?wewe unaongea na kucoment kwa hisia,umeona picha unakimbilia kumtaja linza,contractor unamjua?unajua kazi ya str.eng ktk projects ya ujenz?fika site ujue nin kipo na si kukimbilia kunanga watu,siasa inaingia kila pahala na kwakuwa bado hujui nini siasa maana yake thats why unataka watu wasijue sia za nchi yao na dunia,kwako siasa ni murder bt to me politics ni development na construction industry inahusika,so endelea na uvivu wako wa kufikiri na kuona unaweza kuchafua watu kwa umbumbumbu wako.soma ujue mambo mengi tofautitofauti ili utoke kufikiri inbox,jifunze kuwa mstaarabu uheshimiwe kama uwezo wako hauruhusu hakuna sababu ya kuleta assumptions kwny jukwaa,mimi nimefika mpaka site na kuona hali halisi na mambo yanayofanyika ni ya kifundi tu ambapo contractor kapewa maelekezo na huyo unayembeza ya kurekebisha jambo ambalo ni kawaida,acha majungu mkuu na usikariri mambo ujenzi una mambo mengi na lazima tuheshimiane kikazi,we unachanganya mambo na kwakuwa understanding yako inafikiri kwa mipaka basi unaleta majungu jukwaani.be smart!