Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Jaribu hizo code kwenye Terminal, mkuu
sudo add-apt-repository -y ppa:upubuntu-com/edu
sudo apt-get update
sudo apt-get install aarddict

halafu itafuta dictionary kwenye Dash
Nilivyoweka code ya kwanza imeniletea hivi...

'This PPA does not support xenial'
Cannot add PPA: ''This PPA does not support xenial''.
 

Blender 3D ni software nzuri sana, ila inataka muda mrefu wa kjifunza , vinginevyo utatoka kapa tu
 
Blender 3D ni software nzuri sana, ila inataka muda mrefu wa kjifunza , vinginevyo utatoka kapa tu
Njia rahisi ni kwenda kwenye ubuntu software search for Blender download it...
 

Pamoja na jitihada zote kukuelewesha mada yangu naona haujanielewa!
Hizo habari za firefox mimi nimeongelea wapi?
May be you're a noob to understand what I mean!

Ila angalia hizi picha chini bila shaka utaona tofauti na utaelewa msingi wa swali langu!



vs

 
Nilikuwa nimeikumbuka mint yangu kwenye kilaptop cha kuchezea juzi,Linux came a long way fromthe Red Hat days ambako interface ilikuwa ni afterthough.
 
Nimekufahamu mkuu usipanick.....,jana huyu mama alikuwa na kitu kikali,gilasi mia tano...,samahani mkuu
 
Kuna theme nyingine kama xubuntu inafanya system kuwa slow mi niliamua kuitoa
 
NINA SHIDA NA KUIFAHAMU KALI LINUX MWENYE UJUZI ANIPE SOMO
 
Wapenzi wa Ubuntu habari njema kwenu Ubuntu 18.04 LTS (Bionic Beaver) ishatoka majuzi hivi
 
Naikubali sana ubuntu. Hasa wakati wa kutype SuDo-apt-get.............!
 
Nimechukua siti wakuu.

Nnaitumia sana Debian na baadhi ya kazi nnafanya na openSUSE.
 
ipi tofaut ya kuitumia ubuntu huku umeibebanisha na os ingne kama window,,na kuinstall ubuntu tu peke yake bila kuwa na os nyingne kwenye pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…